Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

yash_ed

Senior Member
Jan 9, 2020
142
382
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.

Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.

Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.

Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.

Nawasilisha
 
Teh teh teh teh teh teh teh....
 
Ndoto zako Baki nazo.
 
Ngoja niende kilingeni kwangu nikapige ramli kwanza, nitakuja na majibu.
 
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.

Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.

Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.

Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.

Nawasilisha
Utakuwa ulibanwa na mkojo
 
mimi kama mtaalam wa kutafrisi ndoto kitakacho wakuta tena ni hiki
👇

download.jpeg
 
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.

Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.

Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.

Mwenye ujuzi wa hili naomba anisaidie.

Nawasilisha
Afu aliyekuwa anafungwa ni Ayubu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom