vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  2. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Vitisho vya Azana

    Maneno hasi ya Azana yananifanya nisilale kila ifikapo alfajiri. Kwa mbali naskia "Swalah Swalah Kitanda chako ndio kaburi lako Usingizi wako ndio kifo chako Shuka lako ndio sanda yako" na maneno mengine ya kukutoa kitandani. Aaaah Jamani eeeh Oya hz Mambo Kama wangeweza kupigiana simu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katibu Mtendaji MCT: Vyombo vya Habari bado vinaendelea kupokea vitisho vya kiutawala

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, licha mabadiliko ya sheria kadhaa zinzogusa tasinia ya habari nchini lakini amedai kuwa bado zipo changamoto za kisheria ambazo ni kikwazo kwa vyombo vya habari. "Pamoja na mabadiliko tunayoyaona ya sheria kadhaa, bado zipo...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wanaotakiwa kupisha uendelezwaji wa Mto Msimbazi waomba Rais Samia kuingilia kati suala la malipo

    Baadhi ya wakazi wa Jangwani, jijini Dar es Salaam wameandamana wakiwa na mabango tarehe 3 Septemba, 2023 wakishinikiza kulipwa fidia inayostahili badala ya ile waliyothaminishwa kwa kulazimishwa huku wakiwa chini ya usimamizi wa askari wenye bunduki. ============= ================= Baadhi ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  6. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umefika wakati wa kujikwamua kutoka kwenye misaada isiyoheshima

    Picha: Swahilitimes UTANGULIZI Mara nyingi sana mataifa maskini yamekopa kwa mataifa yenye uwezo lakini hatukuwahi kuona nchi tegemezi zikijikwamua katika hali zake duni za kiuchumi kupitia misaada zinayopewa kwani misaada mara zote hudumaza. Tukitathmini kwa makini tutagundua hata katika nchi...
  7. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Vyama vya upinzani vitakuza uwajibikaji wa chama tawala

    Picha na Ebony FM UTANGULIZI Nafasi ya upinzani katika kukuza uwajibikaji wa chama tawala ni tata na limedumu kuwa swala mtambuka. Vyama vya upinzani vinaweza kuchukua jukumu hili muhimu katika kuwajibika kwa serikali ya chama kilichopo madarakani kwa namna mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutoa...
  8. Beesmom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona vitisho vinazidi Kwa siye wadada na hiyo Midori(Robots)

    Mi binafsi nasema hata ziwa lilale kama banzoka iliyopitishiwa moto bado Robot hawawez ziba nafasi yetu wanawake.... especially kwenye vitu hiv: 1.Robot hatoi utelezi ila anawekewa 2.Robot hana katerero 3.Robot hajui kuifinyia ndani 4.Robot hana joto asilia 5.Robot hana story za udaku Usiku...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Siasa za kutishia kutajana majina ni siasa uchwara, za hovyo na mediocres

    Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki...
  10. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  11. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Japhet Koome: Siogopi vitisho vya mahakama ya ICC

    Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome amesema kuwa hatishiki na barua iliyotumwa kwenda kwa Mahakama ya kimataifa ICC na upinzani. Upinzani kupitia Muungano wa Azimio unaoongozwa na Raila Odinga uliandikia ICC barua ukitaka Mahakama hiyo kufungua jalada la uchunguzi kutokana na nguvu nyingi...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

    FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda😀 YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! 🔰
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

    Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye. === Alichoandika Saleh Jembe kwenye Ukurasa wa Instagram WANASIASA ACHENI KAMATI ITENDE HAKI, MSISHADADIE DHULMA...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani. Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
  16. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Matatizo ya Wakulima hayaondolewi kwa vitisho

    Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu itapiga hatua katika maendeleo ya kilimo kwa kuwa kilimo ni Biashara. Bashe amesema kuwa hela...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

    Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
  19. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

    Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao. Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja. Huyo huyo mwanaume hafanyi...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Watu wengi walijiunga Azimio kutokana na kupewa vitisho

    Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema watu wengi walijiunga na Umoja wa Azimio kutokana na kupewa vitisho na sio kwa kupenda. Amesema anafahamu hali hiyo iliwafanya wahamie upande mwingine lakini kwa kuwa sasa Mahakama imetoa uamuzi, basi wana uhuru wa kurejea au kwenda wanapotaka kwa kuwa...
Back
Top Bottom