vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga: Fujo na vitisho ni nini?

    FUJO NA VITISHO NI NINI? Ni mara atoke Mayele aingie Starboy Mzize, mara atoke Farid aingie Morrison, mara atoke Nondo aingie Doumbia, mara atoke Mauya aingie Mudathir, mara atoke Kisinda aingie Musonda😀 YANGA NI NINI? Ni timu iliyojaa yenye Sub kila eneo mpaka Makocha! 🔰
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanashinikiza suala la FEI TOTO na kuleta VITISHO

    Nawafahamu watu hawa. Ndiyo ambao walimwita Fei Toto na kumchimba mkwara. Wakaharibu zaidi wakati sisi tunaenda kuongea na mama yake amkanye mwanawe wao wakaona wamwite yeye. === Alichoandika Saleh Jembe kwenye Ukurasa wa Instagram WANASIASA ACHENI KAMATI ITENDE HAKI, MSISHADADIE DHULMA...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Tamko hilo linakuja zikisalia saa chache kufika saa 12 jioni ya leo Nov 25, 2022, muda ambao viongozi wa eneo la Kikanda walitoa kwa Waasi hao kusitisha mapigano au wakabiliane na majeshi ya kulinda amani. Msemaji wa M23 Canisius Munyarugerero amesema kundi hilo linapuuza maamuzi yaliyofanyika...
  5. MANKA MUSA

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Matatizo ya Wakulima hayaondolewi kwa vitisho

    Waziri wa Kilimo muda huu akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara mkoani Manyara amesema kuwa Wakulima matatizo yao hayaondolewi kwa kuleta vitisho bali kwa uwezo wa kushirikiana nchi yetu itapiga hatua katika maendeleo ya kilimo kwa kuwa kilimo ni Biashara. Bashe amesema kuwa hela...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kabendera: Nimeombwa kuwasilisha vielelezo kuhusu vitisho vya Jaji Biswalo

    Kupitia Twitter mwandishi wa habari mkongwe Eric Kabendera amesema ameitwa kuwasilisha vielelezo vyake baada ya kutishiwa na aliyekuwa DPP wa Serikali Dr. Biswalo Mganga Binafsi nimeombwa kuwasilisha maelezo ya maandishi kwa mamlaka husika kuhusu vitisho alivyovitoa Ndugu Biswalo dhidi yangu...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Vitisho haviimarishi mahusiano

    Kuna baadhi ya wanaume wanatabia ya kutishia kifo kwa wapenzi au hata wake zao. Unakuta mwanaume anamwambia mpenzi wake ukichepuka ntakuua.. Halafu bahati mbaya asilimia kubwa wanaosema hivyo ni wachepukaji wazuri na unakuta ameshafumaniwa zaidi ya mara moja. Huyo huyo mwanaume hafanyi...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ruto: Watu wengi walijiunga Azimio kutokana na kupewa vitisho

    Rais Mteule wa Kenya, William Ruto amesema watu wengi walijiunga na Umoja wa Azimio kutokana na kupewa vitisho na sio kwa kupenda. Amesema anafahamu hali hiyo iliwafanya wahamie upande mwingine lakini kwa kuwa sasa Mahakama imetoa uamuzi, basi wana uhuru wa kurejea au kwenda wanapotaka kwa kuwa...
  10. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Madiwani Mtwara wadai kukuta ujumbe wa vitisho nyumbani

    Mtwara. Madiwani watano wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mkoa wa Mtwara wamebakia na mshangao baada kukuta barua zenye ujumbe zilizoandikwa kwa maandishi mekundi nyumbani kwao. Ujumbe hizo zinazosomeka ‘Munatualibia maisha yetu na nyinyi mujiandae kuhalibiwa kwa namna yoyote maisha yenu’...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Makampuni yanayotoa mikopo kwenye App yaige mbinu hii inayotumika Nigeria kuwaweza Watanzania watukutu; SMS za vitisho kwao ni sawa na wimbo

    Ni nani ambae hakumbuki ule mtelezo wa app ya tala iliyokuwa ikitoa mkopo swafi kabisa wa elf 20 lakindi kwa mbongo ikawa ni kama zawadi. Wabongo walichukulia kama zawadi hawakua na muda wa marejesho, haya meseji za vitisho zilivyoanza kutumwa ndio kwanza mtu anaweza pozi la 4 huku akishushia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Juu wanazidi kukipromoti kiswahili, huku chini walimu sasa wanapewa barua za vitisho za kuhakikisha kiingereza kinazungumzwa mashuleni; imekuwa shida!

    Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika. Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano yote iliisha kwa vitisho na kufokafoka tu hakuna la maana liliofanyika.

    Namshukuru mungu kwamba Samia anaoonesha Nini maana ya uongozi. Uongozi siyo kuniona wewe ndo Bora zaidi kuliko wenzako, kujisifu na kujigamba kila unapopata jukwa na kuwaponda wenzako kila dakika. Uongozi ni hekima hasa nafasi ya juu Kama hii ya urais. Nchi iligeuka kuwa uwanja wa mauaji na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

    Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura' Kwa tafsiri rahisi ni kuwa...
  15. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amejaa vitisho na mikwara ila hatoweza kuwashinda Wamarekani

    Katika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, basi ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii hutokea mitaani na hata mashuleni katika ngumi za kawaida. Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe...
  18. sirluta

    JamiiForums Tanzania Vitisho vya Chama cha Walimu Tanzania(CWT) dhidi ya walimu nchini

    Makatibu habari za asubuhi? Naelewa kuwa CHAKUHAWATA wanatafuta wanachama! Pale ambapo ipo kila Katibu wa wilaya amwandikie DED wake kuhoji kwanini katibu wa CHAKUHAWATA(ngazi husika mf wilaya ya Bukombe), anatumia rasilimali za serikali kwenye shughuli za CHAKUHAWATA yaani muda na mshahara wa...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka

    Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi. Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa...
Back
Top Bottom