Siasa za kutishia kutajana majina ni siasa uchwara, za hovyo na mediocres

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,506
46,036
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k

Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
 
Usizinguke mbuyu,ni Kigwangwala mzee wa makafara.
 
Ujinga wa Zitto huu, kale kajamaa kapuuzi sana.
 
Uchakavu wa akili na kujikomba katika siasa ndiyo kunawafikisha huko. Siasa inapaswa kuleta ustawi wa jamii katika changamoto zinazoikabili Kwa kutoa ufumbuzi wa Mambo mbali mbali na si kuanza kutaja majina na kungojea matukio ndiyo iwe sababu ya kupaza sauti.Uenda mfumo uliopo umejengwa hivyo na hiyo itaweka matabaka ya hovyo mengi kwakuwa kila mmoja ataka aonekane hata Kwa Jambo la kipuuzi na si kuleta matokeo chanya Kwa jamii ya wa Tanzania.
 
Watanzania tulio wengi ni kama wachawi tu au waganga wakienyeji maana mambo yetu wengi hayajanyooka na tunafanya mambo kigizagiza tu.
 
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k

Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
naunga mkono hoja.
P
 
  • Hali hii ilianzia mbali, toka utawala ule.
  • Ikiwa kama yule bwana mpaka sasa yupo uraiani, wameshindwa hata kuwahadaa wadanganyika kwa kumtoa uraiani kiaina. Red light!!!!
 
Huwezi kuwa mwanasiasa au kiongozi serious unaitisha mkutano wa waandishi wa habari halafu unaanza kutishia una majina yako mfukoni ya watu mashuhuri sijui ya watu mafisadi, wanahujumu nchi, wanamuhujumu kiongozi, mashoga, wanauza dawa za kulevya n.k

Hizi ni siasa za kipuuzi, za kutafuta kiki, uchawa, na uchwara pia. Kama unayo majina ya watu fulani si uyapeleke sehemu husika au uyatoe hadharani kuliko kutishia tishia unawajua na utawataja hadharani. Haifai kufanya siasa za kitoto hivi kwa watu wazima wanaonekana wamekuwa na wamepevuka akili. Watu wa aina hii ni jokers tu.
Nani huyo mkuu?!!!
 
Wewe mwenyewe upo kwenye media hapa unafanya nini? Hiyo ndo kazi ya media wewe mtoto
 
Nani mwingine katishia ana majina?
Polepole katishia ana list ya Wala rushwa huko wizarani ila hakutaja hata mmoja. Sasa najiuliza inakuaje mafisadi wanajulikana alafu hauwashtaki ila unawatishia kuwataja majina hadharani?
 
Why Balozi wa Cuba Yuko hapa anatishia?why huko Cuba asipelekwe mtu mwingine...huyu akae na list yake huko Instagram??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom