vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii

    Katika ulimwengu wa sayansi na technologia ni vigumu kuepuka assassination attempt. Ata US secrets service waliomlinda Trump walizidiwa. Siasa chafu, kubambikiana ma kesi kunajenga chuki sana kwenye jamii. Nimepitia X nkaona kuna post hadi moyo wangu umeshtuka. Mtu anatangaza kufanya...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi

    Iran inasema iko tayari kwa makubaliano ya nyuklia ikiwa Marekani itaacha vitisho vya kijeshi. Iran iko tayari kushirikiana na Marekani katika mazungumzo siku ya Jumamosi kuhusu mpango wake wa nyuklia "kwa lengo la kusaini makubaliano", Waziri wake wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

    Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iron-dome yaboreshwa kukabiliana na vitisho toka nje

    Iron-Dome ni mifumo ambao Israel inajivunia sana na umeonyesha kufanya kazi vizuri toka Oct 07,2023 Pamoja na kazi nzuri hiyo Israel imefanikiwa kufanya maboresho zaidi ili uweze kufanya kazi kwa ubiorą zaidi kuliko mwanzo.
  5. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TFF msiogope kukosolewa, acheni nidhamu ya uwoga, Wasemaji msihofu vitisho, semeni mapungufu ya marefa

    Kuna HABARI Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2 Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa Kama mlifikiri mkimfungia Ali kamwe mnaidhoofisha Yanga mmejichanganya wenyewe hakuna jipya WAsemaji adhabu ya kamwe...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kama umati unaokuja kukusikiliza ni kwa vitisho na kukandamiza watumishi na wanafunzi, nini faida ya umati huu?

    Siasa za Tanzania zimekuwa za ajabu sana, yaani kiongozi mkuu analazimishiwa umati ili aonekane amejaza watu na ipeleke picha kwamba anakubalika kumbe kiuhalisia ni uongo mtupu. Jiji la Mwanza linahitimisha shughuli za mwenge wa taifa tarehe 14/10/2024. Lakini cha ajabu maandalizi yote kwa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  10. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa ndugu, jamaa na watanzania kwa ujumla baada ya kupata vitisho vya kuniteka, kuniuwa na kunipoteza

    Baada ya kupata taarifa kupitia msamaria mwema kwamba Rais @SuluhuSamia anawinda roho yangu kupitia vikosi kazi vya utekaji, nilifanya kikao na wakili wangu. Wakili ameshauri niandike barua na kuweka public. Nimeshaandika barua na nimewapa ndugu wote ni zamu yenu kusoma barua hii. Mdude Nyagali...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jambo TV yasema itarusha Live mkutano wa CHADEMA licha ya kupewa vitisho

    Vitisho vya aina yoyote ile na Lobbying yoyote ile kwenye Media kuelekea Press conference ya Mhe. Freeman Mbowe @freemanmbowetz havina nafasi kwenye Uhuru wa Habari. Kwani Freeman Mbowe hapaswi kupewa nafasi ya kusikika na Watanzania kupitia vyombo vya habari? Kama kurusha Matangazo ya Mkutano...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vitisho toka kwa M/Kiti wa Kitongoji cha Itumbi (Mbeya) kwa wakazi wa Majengo-Mapya

    UTANGULIZI Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi. HISTORIA YA ENEO Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo liliteuliwa kuwa kambi ya kijeshi ya wapigania uhuru kusini mwa Afrika. Mara baada ya shughuli kumalizika...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatishia kuifungia KTN iache kuripoti Maandamano, KTN yajibu haitaacha kuripoti taarifa zenye maslahi kwa umma

    Chombo cha Habari KTN chasema kimepokea vitisho vya kufungiwa kwasababu ya kuripoti maandamano, waambiwa waache mara moja kuripoti habari hizo. KTN wajibu na kusema hawatacha kuripoti matukio yenye maslahi ya umma kwa wananchi.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaacha kutumia Busara kwa kupata Suluhisho la Kudumu ili kuwe na 'Win Win Situation', nyie mnatumia Vitisho mkidhani ndiyo Suluhisho Kuu

    Jeshi la Polisi Nchini limesema linawatafuta watu waliokula njama kuandaa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii tangazo linalowataka Wafanyabiashara wote wa viunga vya Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia Jumatatu ya Juni 24, 2024, bila ukomo, hadi pale changamoto zao za kibiashara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna Limbwata au ni vitisho tu?

    Hii ni kwa wanaume wote, tukae mguu sawa. Je, hii kitu inaitwa limbwata ipo kweli ama ni mental cases tu zinasumbua watu? Kama lipo la mkoa gani ndo kali? Unadhani kama ipo tunachomoanaje humo? Maisha ni kusaidiana, tupeni ushuhuda na uzoefu. Wanawake pia tunawakaribisha.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni vitisho gani ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao?

    Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

    Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake. Marekani na nchi...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha amwambia Makonda: Mtoto wangu amelawitiwa, Askari Polisi hawanisaidii na wananipa vitisho

    Mkazi wa Muriet Jijini Arusha akielezea changamoto aliyokutana nayo akidai Mtoto wake amelawitiwa na baadhi ya Watu huku Askari kadhaa wa Murieti wakimzungusha kupata haki yake licha ya vipimo vilivyofanyika katika Hospitali ya Murieti na Mount Meru kuthibitisha ukatili aliofanyiwa mwanaye...
  20. AnyWayZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Imani/dini zimejengwa katika misingi ya Ahadi na Vitisho..?

    Salaam, zingatia swali hapo juu. Ati jamani yani kwanini? Kwanini mpaka tuhaidiwe au tutishiwe ndo tuamini, kwahiyo tunafanya kwa kuogopa au kwa kushawishiwa? Mfano: Utaambiwa kuna kuchomwa moto, kuna raha na starehe. Ebu naombeni ufafanuzi kwa vyovyote unavyoelewa wewe au hata usivyoelewa na...
Back
Top Bottom