Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
216
478

Getty ImagesCopyright: Getty Images

Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika.

Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango mengi yanayotaka mashambulizi katika viwanja vya michezo ya robo fainali siku ya Jumanne na Jumatano.

Uefa ilisema inafahamu kuhusu vitisho hivyo lakini ikasema michezo ya Madrid, Paris na London itaendelea kama ilivyopangwa.Mawaziri wa Ufaransa na Uhispania wamethibitisha kuimarishwa kwa hatua za usalama.
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa Gérald Darmanin alisema kutakuwa na "uimara zaidi" hatua za usalama zitawekwa wakati PSG itakapocheza na Barcelona huko Paris siku ya Jumatano.
Bw Darmanin aliendelea:

"Nitawakumbusha kwamba siku 10 tu zilizopita, IS ilishiriki picha ya uwanja wa Munich na kusema hatua zinapaswa kuchukuliwa dhidi ya viwanja vya michezo vinavyoandaa michezo ya kandanda - ingawa michezo yote inaweza kulengwa.

Kwa kuzingatia umuhimu wa Ligi ya Mabingwa, bila shaka tunazungumza na washirika wetu."Robo fainali mbili zinatarajiwa kufanyika mjini Madrid wiki hii.

Real Madrid wanaikaribisha Manchester City Jumanne, huku Atletico Madrid wakimenyana na Borussia Dortmund siku ya Jumatano
---
France and Spain will step up security ahead of the Champions League quarter-finals in Madrid and Paris on Tuesday and Wednesday nights, top officials said, as Islamic State threats cast a shadow over Europe's top club soccer tournament.

British police said they were aware of reports of threats and had a robust policing plan in place ahead of Arsenal's match against Bayern Munich in London on Tuesday night.

The threats against some of the world's most-watched soccer matches underline the resurgence of Islamic State after several deadly attacks this year, including in Iran and Moscow. They also point to the complex geopolitical backdrop to the world's biggest single sporting event, the Olympic Games, set to take place in Paris in July and August.

At a press event to discuss Olympic security on Tuesday, French Interior Minister Gerald Darmanin told reporters that police had "considerably strengthened security" for Wednesday's fixture between Paris St Germain (PSG) and Barcelona in Paris.

"We have seen, among other things, a communication from the Islamic State that particularly targets stadiums. It is not new," he added.

Islamic State published a post urging followers to recreate a November 2015 attack on the Stade de France stadium, according to Site Intelligence group, which tracks Islamic militant communications.

"Recreate the glory of the Paris 2015 raid and subdue the Crusaders in masses," said the post, which included an image of PSG's Parc des Princes stadium.

Item 1 of 5 Soccer Football - Champions League - Quarter Final - First Leg - Real Madrid v Manchester City - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - April 9, 2024 Police is seen outside the stadium before the match REUTERS/Violeta Santos Moura
[1/5]Soccer Football - Champions League - Quarter Final - First Leg - Real Madrid v Manchester City - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - April 9, 2024 Police is seen outside the stadium before the match REUTERS/Violeta Santos Moura Purchase Licensing Rights, opens new tab
Real Madrid play Manchester City in the Spanish capital on Tuesday night as Arsenal take on Bayern Munich in London. Atletico Madrid then host Borussia Dortmund on Wednesday night at the same time as PSG play Barcelona.

"Of course, it's worrying ... Who in this room isn't worried?" PSG coach Luis Enrique told reporters. "It's something I hope can be controlled, and that they're just threats and that nothing disastrous happens."

EUROPE ON EDGE​

London police's Deputy Assistant Commissioner Ade Adelekan said in a statement : "We're aware of online and media reports in relation to calls to target matches across Europe and here in London."

"However, I want to reassure the public that we have a robust policing plan in place for tonight's match and we continue to work closely alongside the club's security team to ensure that the match passes peacefully."

Spanish police forces will deploy more than 2,000 officers to boost security in the capital for the two games there, government spokesperson Pilar Alegria told reporters on Tuesday.

After being largely crushed by a U.S.-led coalition, Islamic State has been operating in the shadows in recent years, slowly rebuilding its capabilities via underground sleeper cells.

Its Afghan branch, known as ISIS-K, has been particularly active in recent months. The group claimed responsibility for a mass-fatality attack at a concert near Moscow last month, and also carried out twin bombings in Iran that killed nearly 100 people earlier this year, according to U.S.-intercepted communications.

The Reuters Daily Briefing newsletter provides all the news you need to start your day. Sign up here.

Reporting by Dominique Vidalon, Vincent Daheron, Emma Pinedo and Sarah Young; writing by Gabriel Stargardter; Editing by Hugh Lawson

CHANZO: BBC swahili.
 
..na kunapochafuka kwao wote wanakimbilia western Europe,sasa wapo kwenye host national wanajifanya mashujaa,why hawakimbilii Iran,Saud Arabia?wanakimbia huku wanatamka Germany!!sasa wamefadhiliwa na wanajiona wana ushujaa wa kuwaonyesha middle finger wafadhili wao,nikiwa Rais wa Tanzania,my Tanzania came first,watanzania ndio wenye nchi hii sio wengineo!,nitawaswaga mipakani mwa nchi zao,huwezi nikuweke pale kigoma halafu uanze kunifanyia ujambazi
 
Mpira haram....maana wanaume wanapaswa kuvaa dera/kanzu sio yale makaptula au uwongo brazaj
Hii dini yenu ni laana dunia hii

ISS haina cha kufanya na Palestina wala HAMAS. Hao kama Israel na Marekani, wako hapa:

IMG_20240409_184806.jpg
 
wazungu wamewakaribisha wao wenyewe, sasa wameanza kuelewa kwamba waliowadhania wakimbizi, wana dini inayosapoti ugaidi. wazungu hawakuzoea kuamka asubuhi kwenda kazini barabara ikawa imevamiwa na watu wanaswali katikati ya barabara wakati majengo ya misikiti yapo, hawakuzoea kufika jioni na kuona watu wamefunga barabara wamepanga viti vya futuru wanafuturu hadi wamalize ndio barabara ifunguliwe, na hapo watu wana nyumba zao wangeweza kufuturu majumbani mwao. sasa wameanza kujifunza na kupata jibu. na ninajua kama somo watakuwa wamelipata.
 
Kuna mwislam aliyewahi tundikwa msalabani?

Gal 3:13-14
, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti.
Shekhe wako amekupa huo mstari mmoja wa Biblia then akakuachia hapo huku anajua n kwann huo mstari umeandikwa hvy, mana akikupa maana yake usingekuja kuandika hayo hvy amekuacha na upumbavu kichwani.
 
Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika.
Inaelekea hao Is wana washirika wao Tanzania pia..
 
Back
Top Bottom