vitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Tunduru aanza vitisho

    Kama mnavyoweza kukumbuka wanajamii forums kuna taarifa iliandikwa ktk jukwaa hili kuhusu Watumishi wa Halmashauri ya willaya ya Tunduru kuwanyanyasa walimu wapya. Kwamba, walimu waliokuwa na tofauti kidogo katika majina yao walilipishwa Shs 82,000/ kwa ushirikiano kati ya ofisi ya Utumishi na...
  2. meningitis

    JamiiForums Tanzania Je, vitisho vya kuuawa Zitto vilikuwa na uhalisia?

    Hapa chini nawaletea kipande cha maelezo ya Zitto katika moja ya threads maarufu zilizowahi kutokea humu jamvini ambapo bavicha walikuwa wakishambuliana. #Ninasikitika sana kuona wanachama wa CHADEMA wanavyoweza kutumika kwa maslahi ya kundi fulani kuharibu heshima ya viongozi wao mbele ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

    Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali. Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Waandishi wanaoripoti habari za Mahakamani za Sabaya Wanatishiwa Maisha. APC Walaani

    Chama cha Waandishi wa Habari Arusha(APC) wamelaani vitendo vya watu wasiojulikana kuwatisha waandishi wanaoandika habari za Lengai Ole Sabaya Watu hao wamekuwa wakiwatisha waandishi kwa simu kuwaonya juu ya namna wanvyoripoti muendelezo wa kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Hivi karibuni...
  5. Mr pianoman

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Vitisho alitutisha sana kabla ya kuanza kuangalia Bongo Movie

    Unaukumbuka msemo wake mmoja? Weka hapa tuone. Na kama unamfahamu na bado upo kwenu kwa baba na mama mpaka leo kaka/dada unazingua.
  6. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

    Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Yanga kutoingiza timu waanza,Simba Sc punguzeni vitisho

    Hapa ni msemaji wa Yanga akitest mitambo kuona mwitikio. Mengi zaidi yatajiri hivi karibuni. Nawaomba Simba Sc wenzangu hasa Haji Manara na fans wa mitandaoni wapunguze vitisho kwa Yanga. Ni vile tu Yanga hawawezi kusema tunatishwa na Manara. Wanaandika kwenda dokezo TFF wakidai Simba...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi mdogo Muhambwe: Dkt. Florence Samizi ashinda kwa kishindo

    Zilikuwa ni kauli za kipuuzi kwa muda wake wa kipuuzi. Tunamshukuru Mungu zimekoma kabisa kabisa. Mungu akikupa mamlaka usiyatumie kama fimbo kwa kuwa unao uwezo wa kuyatumia kama fimbo na ukapata unachotaka. Tunamshukuru aliyekomesha kauli hii na za aina yake. Narudia tena "Mungu ni mwema"...
  9. D

    JamiiForums Tanzania TARURA mnaonea kwa vitisho

    Naomba sana Rais wangu Mama Samia kupiga marufuku ya hii kamatakama ya hawa Tarura unapopaki pembeni ya barabara ama kwa dharura umewasha double hazard lakini bado wanakuja kukamata ni kikubwa huwa wanachukuwa rushwa tu. Hawa jamaa wa Tarura hutembea kwenye Noah na wengine bajaji wanatengeneza...
Back
Top Bottom