ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasomi vijana wasio na kazi

    Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35. 1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania 2. Fanya mtihani wa lugha ya German German inatoa viza za kazi kwa wasomi . Fuatilia badala ya kupoteza muda na kutegemea watu wakuletee information zote...
  2. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  4. African Geek

    JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, anamuimba Manzi yangu

    Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi tu, kaniona tu Nimepigwa ofa za bia.. huyu jamaa anafanya kazi na bro angu. Sasa anamuimba Manzi...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeathirika kisaikolojia ushauri

    Habarini, Nilikuwa na mke tuliependana sana kwa muda wa miaka 9. Mwanamke alibadilika na kuondoka, alinichenga sana alipo mpaka sasa ni miezi 6 hataki kuwasiliana, nami ameamua kudanga. Nataka nimtafute mchumba mpya nioe, je, nikitafuta wa jina kama la mke wangu itanipa shida? Mke wangu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kabla sijanunua Hilux surf ya mwaka 1994 yenye engine ya 1KZ-TE

    Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
  9. TUJITEGEMEE

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni- Wananchi wote waridhike

    Nashauri ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni(kwa mujibu wa taratibu za Bunge) -Bunge libatilishe Azimio lile na kisha, Makubaliano yaangaliwe upya pale ambapo panapigiwa kelele na wananchi hasa kipengere cha 23(4), na pengine pia parekebishwe na wananchi waridhike kuwa Sasa makubaliano yapo sawa...
  10. ASadick

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa kisheria?

    Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana. Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke? Matumizi yote ya kimsingi yanayoka kwangu.
  11. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Idara zote za Maji tuwape DP World kuongeza ufanisi

    Tumewafukuza wamasai Loliondo ili kuwapa waarabu kupaendeleza, tupo kwenye hatua za mwisho kuwapa DP World bandari zote za Tanganyika kuziendeleza, kuna tetesi kuwa misitu yote pia tumewapa watusaidie. Nashauri tuwape wizara ya maji na wizara ya nishati ili watusaidie pia kusambaza maji ya...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

    Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini? Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
  13. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri Ninunue Bajaji au IST Nifanye Uber/Bolt

    Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu aisee maana ni wiki sasa najaribu kudadavua kipi ninunue kati ya Bajari au Gari aina ya IST kwaajili ya biashara ya huduma ya usafiri hapa mjini kupitia Bolt na Uber, mbali na hilo ntakuwa nafanya mishe zingine kupitia chombo nitakachonunua sasa naomba wenye...
  14. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  15. Justine Marack

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kozi ya kusoma kwa Masters

    Wadau habari za Muda huu, Ninaomba ushauri kidogo Kwa wanaojua Nina mdogo wangu ni mwalimu wa sekondari aliyeajiliwa alisoma Bachelor of Arts with Education GPA ya 3.4 Anataka kusoma Masters lengo lake ni kubadili kada kutoka ualimu au kupanda ngazi na kutoka kwenye kufundisha aende kwenye...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwa PS4: Niwe nacheza games original au nifanye kuichipu?

    Nina ps4 , Version yake ni 9.00, Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa. Sasa Je, kibongo bongo A. Nicheze game original ? B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Hatutadharau ushauri, maoni na maeneo yenye hofu kuhusu makataba wa bandari

    MAJALIWA: HATUTADHARAU USHAURI, MAONI NA MANENO YENYE HOFU KUHUSU BANDARI --- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali haitodharau maoni na ushauri wanaoutoa kuhusu maeneo yenye hofu kwenye mradi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam. Waziri Mkuu Majaliwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wadau ushauri

    [6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie: Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya. Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata...
Back
Top Bottom