ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Bandari: Ushauri wa bure kwa Rais Samia, achana kwanza na suala la kuikodisha kwa wakati huu

    Bandari bado ni kaa la moto. Wabunge na Bunge limeupitisha mkataba, lakini wenye nchi, Watanzania hawajui kilichopitishwa ni kitu gani. Kwamba kuna habari kuwa Wabunge walioenda "kuona" shughuli za DP World katika bandari za huko nje walikuwa compromised, hili linaleta utata mkubwa. Ushauri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi kuchanganyikiwa

    Wakuu za mida? nadhani mko poa! Mimi ni kijana wamiaka24 nilifeli kidato cha nne mkoani huko nikawa nafanya shughuli za kilimo na washkaji zangu huko mkoani. Nilikuwa napata hela za kujikimu na chakula fresh tuu na pia kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilikuwa nina mpango wa kulima mazao mengi...
  3. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: DP World wangeanzia bandari zilizokufa na mahututi na mafanikio yao ndio yawe kigezo cha kuchukua zenye haueni

    Kwa mtazamo wangu ghafi, Hawa mabwana wangepewa bandari zilizopooza na kufakufa wazifufue zishindane na bandari yetu mama ya DSM. Sisi tungewawekea tu miundombinu kuhakikisha wanatekeleza wajibu wao vzr. Wakifikia malengo basi tunawapa na hizi tunazozitegemea kama uti wa mgongo wa uchumi wetu...
  5. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

    Kabla sijaoa nilikua na maisha mazuri sana, hela ilikuwa inakaa mfukoni, laki tatu inakaa hata miezi mitatu kwenye chakula, sikuwa mtu wa mawazo ya usumbufu wa kudaiwa daiwa vitu vya ndani kifupi nilikuwa naenjoy sana maisha yale hasa kwenye mambo ya kiuchumi yani sikuwa nakosa hela mfukoni...
  7. Ngela Junior35

    JamiiForums Tanzania Nichague kozi ipi kati ya hizi?

    Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi? Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pump ipi bora ya kumwagilia shamba ekari 50 umbali wa mita 800 kutoka ziwani?

    Wadau ninashamba la ekari 50 ukanda wa ziwa victoria Nataka nifanye kilimo cha umwagiliaji WA mahindi na mpungu wakati wa masika na kiangazi. Shamba Kikimit 700 800 kutoka ziwani. Je, wazoefu nitumie aina gani ya pump naomba na ushauri na specifications Kwa pump za solar dizek na petrol.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Baba mzazi hamtaki mtoto wake wala kuzungumza na mzazi mwenzake

    Habari za Jumatatu, Naomba ushauri kuhusu rafiki yangu huyu. Huyu rafiki yangu alizaa na mpenzi wake miaka ya tisini mwishoni, lakini hawakufanikiwa kuwa pamoja, Baba alioa mwanamke mwingine, akabaki kuhudumia mtoto wake tu japo alikuwa anaishi na mama yake. Ila huyu mzazi mwenzie ambaye ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu Kijana huyu

    T
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Habari kwenu Wana bodi, Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania. Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi...
  12. Dr Adinan

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwasiliana na Daktari Wako Bila Hofu: Mbinu za Ushauri kwa Wagonjwa

    Kuwasiliana na daktari wako kwa ufanisi ni muhimu sana kwa afya yako. Hata hivyo, inaweza kuwa na changamoto kwa baadhi ya watu kuhisi hofu au kukosa uhakika jinsi ya kuzungumza na daktari wao. Kama wewe pia huwa unahisi uzito kuwasiliana na daktari wako kwa uwazi bila hofu, makala haya ni...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa watumishi wanaopokea mishahara

    ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!! 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao. 2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali tafuteni kampuni ya kufanya management (uendeshaji) tu kwenye bandari zetu na sio kubinafsisha bandari

    Kifupi huo ndio ushauri wangu. Tufanye nini? Najua shida yetu kubwa katika kila kitu hapa nchini ni uendeshaji mmbaya na sio kukosekana kwa fedha. Tumewahi kupokea fedha nyingi za misaada lakini tukaishia kuzitumia hovyo kwa kukosa good management na weledi. Tunashindwa kwenye technical...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  17. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  18. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni muhimu sana

    Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka. Bac muhusika akaniahidi...
  19. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba kwenye sajili za kimataifa

    ipo hivi nisiwachoshe kihivyo.. simba ni timu kubwa sana Africa kwa sasa hata hivyo kwa sasa timu hii inakabiliwa na changamoto ya kuwa na wachezaji walio chini ya kiwango huu ni ushauri wangu wa jumla. tujifunze kutoka yanga tusione aibu wenzetu wamefanya maajabu makubwa kwenye mashindano ya...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi Dhidi ya Tanzania

    Wengi wetu tunafahamu kuwa matatizo mengi ya nchi hii, hasara na uduni wa maendeleo, vinasababishwa na viongozi wa Serikali. Iwe ni matumizi mabaya ya pesa ya umma, inasababishwa na maamuzi mabaya ya viongozi. Iwe ni ubadhirifu wa pesa ya umma, kwa kiasi kikubwa unafanywa na viongozi na...
Back
Top Bottom