Nipeni ushauri, anamuimba Manzi yangu

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,379
12,574
Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana

Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi tu, kaniona tu Nimepigwa ofa za bia.. huyu jamaa anafanya kazi na bro angu.

Sasa anamuimba Manzi yangu, sasa hapa nipo tu nacheki picha linaendaje 😂😂☹️

Sina stress hata Manzi akibebwa tu, nipate gia ya kuachana nae.
Ila picha lilivyo hadi sasa ni kwamba nimeambiwa leo kutakua na Kandanda Manzi anaupiru kasema leo mikazo muhimu.

Sasa kinachonipa maswali ni kwamba jamaa akijua siku mimi nilikua namchora na nakula huyo manzi, nitaonekana msera mavi.
sijui nimwambie tu mapema kuwa muuza bia ni Manzi yangu au nikaushe.
 
Iko hivi, nina Manzi yupo grocery, anauza vinywaji.. sasa huyu Manzi mimi kanitunuka fresh fresh, na najua manzi ananielewa sana

Sasa ninefika location hapa nakutana na mwamba tumejuana juzi juzi tu, kaniona tu Nimepigwa ofa za bia.. huyu jamaa anafanya kazi na bro angu.

Sasa anamuimba Manzi yangu, sasa hapa nipo tu nacheki picha linaendaje

Sina stress hata Manzi akibebwa tu, nipate gia ya kuachana nae.
Ila picha lilivyo hadi sasa ni kwamba nimeambiwa leo kutakua na Kandanda Manzi anaupiru kasema leo mikazo muhimu.

Sasa kinachonipa maswali ninkwamba jamaa akijua siku mimi nilikua namchora na nakula huyo manzi, nitaonekana msera manvi.
sijui nimwambie tu mapema kuwa muuza bia ni Mwanzi yangu au nikaushe.
Hata ulichoandika hakieleweki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom