Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

Bora wewe umeamua
Kuna wenzio wanafikiria kutia mimba tu

Dada wa watu amefikiri akishika mimba atapata ndoa Ila wapi karubuniwa Mara ya kwanza karubuniwa Mara ya Pili sasa ana watoto wawili bila Ndoa bila mume daily anaililia ndoa mtaani wanamcheka na kumsema vibaya ati yule ni Malaya amezaa watoto wote akiwa kwao behind the scenes hawalijui ukweli na undani wa story ni wanaume walaghai waongo wazandiki wasio na haya Wanaizaya sasa ANACHUKIA wanaume watoto hawapatiwi matunzo ya pande mbili amekua single mother bila hata ya kutarajia sura yake imegubikwa na Lindi kubwa la machozi kila akikumbuka analia ndani anaumia kwanini wanaume wale walimtenda vibaya sasa ameishia kuaibika na kuonekana asiefaa, ndoa hapati tena mume hapati tena

Uwe makini na mke wako zuia hasira zako
 
4556FF26-C1AF-4680-BBB1-E2D2CC4D03BA.jpeg


Ngoja Team kataa Ndoa wapo njiani wanakuja.
 
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa.

Je nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili.

Natanguliza Shukrani.
Ndoa sio kitu kibaya lakini hakikisha unamjua vema unayemuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom