Naombeni ushauri kwa PS4: Niwe nacheza games original au nifanye kuichipu?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Nina ps4 , Version yake ni 9.00,

Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa.

Sasa Je, kibongo bongo

A. Nicheze game original ?

B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
 
Kuchip unapata games kwa urahisi sana ndugu, unaweza kuongeza game au magame mengi bila kuathiri mengine. Zile za digital huwez fanya hivyo, ni gharama
Ukihitj huduma ya kupata games za ps4 ps3 ps2 pc nichek hapa man 0710701361, nafika uliko kwa dar 0710701361
 
Mimi nahitaji game moja tu! FIFA!

wapi nta enjoy zaidi, kucheza kwa cd au kuchip ?
 
Nina ps4 , Version yake ni 9.00,

Binafsi kwenye games ni mpenzi wa mpira tu, mfano Fifa.

Sasa Je, kibongo bongo

A. Nicheze game original ?

B. Niichipu niwe naenda kuingizza games kwenye vibanda vya ps ?
Games za OG zitakufanya ucheze online utacheza na friends walio online bila hata ya kukutana nao kwangu mimi na penda games za OG sinaaja ya kumtafuta mtu kuja ku update kikosi vya timu kama ligi za ukweli zinavyo endelea kama kuna timu inafanya vizuri au mchezaji kiwango chake kimepanda basi kwenye game OG una update tu sio adi utamfute mtu wa ku chip aje kukuingizia ma file kwangu mimi achana na PS za kuchip

Ps4 za ku chip ingawa zinaunafuu kwenye games nyingi kwa bei poa kwa mazingla yetu ya kibongo PS zisizo chipiwa games zake ni ghalama sana mkuu kama mfuko wako zio mzuri chukua za kuchipiwa

Ila kwenye ubora ni Ps4 isio chipiwa the best kwa upande wangu
 
Fifa 22 ilikua Bure Ps plus May,

Kama unaweza ku afford kama laki 1 kwa mwaka nunua Ps+ deluxe, kila mwezi kunakua na Offer za magame bure na pia utaweza cheza online,
 
Back
Top Bottom