ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Miaka 11 ya ushauri uliofanyiwa kazi, Najisifia, Hutaki Acha!

    Miaka 11 iliyopita niliandika makala mitandaoni nikipendekeza Ikulu ya Dar es Salaam ihamishwe mahali ilipo Magogoni jijini Dar es Salaam, nilipendekeza wazo la Mwalimu Nyerere kuhamishia ikulu Dodoma lizingatiwe na kama hilo litakwama basi Ikulu inaweza kubakia Dar lakini ijengwe pembeni ya mji...
  2. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure

    Kama unamtu serious humu mwambie asiwe anajirahisisha , kama unajua unamtu punguza kuishi humu kama single lady au single man jitoe humu, maana sasa wengine ila sio mie , wanajua waliohumu wapo free kumbe kashikwa. Unajua bisa mtu wako anasoma unatongoza humu mtu mwingine inakera . Hata kama...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuomba ushauri wa mambo ya mapenzi hapa JF

    WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ajira serikalini

    1. Wadau habarini, nimeitwa kwenye usaili tangazo la tarehe 11/08/2023 Nimeitwa wakati huo Nina barua ya utumishi ikinitaka niombe ili niweze kupangiwa kazi, Sasa je nikienda na barua yao nitafanya interview ama laa na nikifeli japokuwa natarajia kufaulu watafanya nini wakati huo barua ina...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wakili Mwambukusi na wote Wapinga Mkataba wa Bandari. "Maliza moja kabla ya kuanza jingine"

    Asalam, Nilifuatilia sana suala la kesi iliyofunguliwa na hawa mawakili. Nikafuatilia hukumu na baada ya hukumu nikajipa muda kufuatilia mitazamo, uelewa, na mipango ya wafungua kesi. Huu ndio ushauri wangu. 1. Zamani sio kama sasa, hasa kwa taifa lililopevuka kama Tanzania, TUHESHIMU TAASISI...
  6. Hamza Nsiha

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Ndugu wana JamiiForums ninapenda kuomba ushauri hivi nikitaka kuoa nizingatie sifa zipi (characteristics) Kwasababu hivi sasa hakuna ndoa imekuwa ni complex organization ambayo inaundwa na vipengele vidogo vidogo vingi. Unaweza oa kwa kuangalia hiki, then mkashindwana kwa kile. Hivyo basi...
  7. Shark

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kutumia pig booster kwa kuku naombeni ushauri hapa

    Mimi ni mfugaji mwanafunzi kuna mdau anadai pig booster ikitumiwa kwa kuku,kuku huwa na maumbo mithili ya nguruwe! Mliowahitumia hiyo kitu kwa kuku,naomba mnielimishe,mlitumiaje na kwa kuku wa umri gani!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji kiasi gani unatosha kufanya biashara ya kuuza vifaa (accessories) za simu?

    Wakuu habari, Mtaji wa kuuza accessories za simu kama vile. Earphones, Battery, Cover, Screen protector na Charger. Unahitaji mtaji wa shingapi yaani kianzio
  10. smarte_r

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu Mtanzania aliyetekwa Nigeria

    Wale jamaa zetu wa kupasua matofali kwa ukogo kwenye sherehe za uhuru, tukio kama hili ni platform pekee ya kuionyesha dunia umwamba wao kwenye special op. Nashauri wakuu ndani ya JWTZ wafanye selection, wachague vijana sita au saba 7 ambao ni the best of the bes ndani ya jeshi, wakibidhiwe...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya safari ya kitalii Afrika

    Tafadhali naomba mchango wako wa mawazo! Nimekuwa nikitamani sana kuzitembelea baadhi ya nchi za Afrika ambazo bado sijafika. Ninatarajia kutimiza sehemu ya hiyo hiyo ndoto hapo baadaye mwaka huu. Ninatarajia kutembelea alau nchi nne, kama bajeti itaruhusu, nazo ni AFRIKA KUSINI, BOTSWANA...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufanikiwa kimaisha kwa kutumia mbinu au kanuni uliyosoma kwenye kitabu au ushauri?

    Ndugu wanajamvi, Kwenye jamii inayotuzunguka kuna msemo ya wahenga na busara au elimu ambayo ili kusaidia au kukunufaisha na kutuwezesha either Iwe positively au negatively kuwa na nidhamu au kanuni za kimaisha. Naomba tushare baadhi ya hivo Vitu either umesoma, kusikia, kuona au namna...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ifanye mazungumzo na Marekani ili tuwe jimbo lao. Hiyo ndio dawa

    Hili ni wazo la ijumaa, kabla sijala biriani wala kwenda kwenye senene za mabibo wine. Ni hivi suluhisho la kweli la Tanzania kama tunataka kweli maisha bora kwa wote uanze mchakato wa Tanzania kujiunga na United states of America yani total sisi tuwe Wamarekani, na hii proposal Wamarekani...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Wazazi wananizuia kuondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha

    Habari mimi ni kijana wa miaka 23 nimemaliza masomo yangu ya chuo kikuu mwaka huu. Tangu nimalize chuo nipo nyumbani nakumbana na changamoto wazazi wamenizuia kuondoka hapa nyumbani nikajaribu bahati yangu huko pengine. Pia nikitaka nijaribu kufanya kazi yoyote wananikatalia wanasema siwezi...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya tiba ya huu mchungwa

    Naombeni ushauri tafadhali. Tatizo la huu mti wa mchungwa ni kama linavyoonekana pichani. Nilishauriwa na muuza pembejeo za kilimo ninyunyizie DUDU ETHOATE lakini haijasaidia. Kuna dawa inayoweza kuusaidia?
  16. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu focus na kilichokuleta mjini, mambo ya mjini waachie watu wa mjini

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, kwa kifupi tusichoshane!. Kijana mwenzangu napenda kukupa ushauri wa bure kabisa. Ushauri napenda kuwapa vijana (KIKE & ME) ambeo umetoka mkoani kuja mjini Dar es salaam kwa ajili ya kutafuta fedha,hapa mjini hatujaja kutafuta maisha,maisha hata mikoani yapo tena...
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ya Tanzania, hususan Waziri wa Fedha kuhusu misamaha ya kodi

    Hapa Jamii forums, hapo zamani tumeshajadili sana kuhusu misamaha ya kodi ya kila namna na jinsi inavyotuumiza. Leo hii sitaki kuchanganya mjadala wa kodi aina nyingi, nashauri hapa misamha ya kodi sehemu mbili tu ifutwe: 1) Wabunge wote wafutiwe misamaha yote ya kodi. 2) Taasisi za kidini...
  18. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je mwenye kutulia ametulia na staha tulivu, na ana ufikiri , ushauri na maamuzi tulivu kwenye siasa?

    Wasalaam JF, Kimya chenye mshindo hubeba dhana ya uzito wa tatizo, na kiwango Cha dhoruba kinampata. Kuna sehemu mpaka Leo pameandikwa. "Usikonjoe hapwa" na bado watu wanakonjoa pale. Ni hayo tu Tulia na utatulizwa Ndio mimi Wadiz
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa course za afya

    Jamani habari zenu wajuvi wa mambo. Nina mjomba wangu amehitimu 2022 form 6 PCB alipata CCD. Sasa anaforce mambo ya course za afya na anaomba ushauri wa kozi gani ina soko la uhakika kati ya md na pharmacy. Kuhusu vyuo nimemwambia apply private ndo atatoboa na sio public kwa sababu za...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa watawala: Wapeni Watanganyika Tanganyika yao

    Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa kwa hiari watajitwalia wenyewe kwa namna nyingine! Watanganyika wanaitaka Tanganyika yao! Msipowapa leo kwa heshima watajichukulia wenyewe kesho bila nyie kupenda! Uvumulivu una mwisho. Wa Watanganyika nao upo ukingoni. Hima! Jitunzieni...
Back
Top Bottom