Ushauri kwa wasomi vijana wasio na kazi

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Ushauri huu ni kwa vijana wasio na kazi lakini wamemaliza chuo na wapo chini ya miaka 35.

1. Tafuta shule ya kujifunza kigerumani Tanzania
2. Fanya mtihani wa lugha ya German

German inatoa viza za kazi kwa wasomi . Fuatilia badala ya kupoteza muda na kutegemea watu wakuletee information zote. Baada ya miaka michache ukitaka kurudi sawa lakini usipoteze muda saidia familia yako. Kama unafikiri uzalendo ni kubaki vijiweni ushauri huu haukuhusu. Nashukuru ufanye uchaguzi mwenyewe na sio kunitumia message kwenye DM mimi pia nachacharika US lakini kwa sasa fursa ni German

 
Back
Top Bottom