Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

Rurakha

Senior Member
Oct 20, 2019
121
209
Habari za Leo wadau,

Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa.

Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha.

MREJESHO:
Nilifuta ushauri wa wadau siku ya jumatatu nilikwenda CBE kupata msaada, walinishauri niandike barua kama wadau mlivyoelekeza na chuo kilifanya transfer ya malipo husika Kwa mlengwa

Labda kingine cha kuongezea ni Kwamba Control number za vyuo huwa ni za mda mrefu mara nyingi ni mwaka na mwanafunzi anakuwa analipa kidogo kidogo

Kwa uzoefu tarakimu za mwanzo Kwa chuo husika hufanana na tofauti yake ni tarakimu za mwisho hivyo ukikosea kunakili namba malipo yanakwenda Kwa mwanafunzi mwingine Ila uzuri zile control number Zina collection account moja(yaani zinaingia kwenye Kapu moja) tofauti inakua ni descriptions za walengwa

Nashukuru sana Kwa ushauri wenu Mungu awabariki
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
 
Rubish kabisa umeandika nini sasa hapa?
Unawaza ngono tuu.
Empty set kabisa.
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
Duuuuu Mzee mpaka nimecheka...mezea tu
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana

Asante Kwa maoni ubarikiwe ntarekebisha
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
MR. LAWAMA LAWAMA TUU.
 
Acheni kulaumu watu mtu kashasema ni dada wa kazini, mi Kuna siku nilikua natoka dsm kwenda arusha na gari yangu private, nikapita mbezi pale kulipia gari yangu motor vehicle kipindi kile bado inalipiwa... Nikakuta dada wa kazi na bosi wake, nikafanya malipo ili nisisumbuliwe njiani, yule dada akawa analalamika anamwambia bosi wake "mama njoo ufanye mwenyewe mi sijazoea" yule bosi akawa anamjibu "lipia tu na wewe ntakufundisha mara ngapi"

Sikuwaza sana akalipia akanipa risiti sikuijagua vizuri nikasepa, nafika Arusha baada ya wiki natumiwa sms nimechelewa kulipia motor vehicle na faini nishapigwa , nikaona wasinitanie, nikachukua risiti nikaenda nayo ofisini, kufika kumbe yule dada alikosea namba Moja kwenye plate number akawa kalipia gari nyingine ambayo ilikua na cc sawa na gari yangu....

Yaani wabongo tupo nyuma sana,walishindwa kunisaidia chochote ilibidi nilipie motor vehicle fees upya tena baada ya kusumbuana nao kama wiki mbili, upuuzi kweli

So haya mambo usichukulie poa yanaweza kukutia hasara hivi hivi unaona
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
Asante Kwa maoni ubarikiwe sana
 
Andika barua kwa mkuu wa chuo DVC_Academic iende kwa Chief Accountant au Accounting Office... Kuwajulisha na kuwaomba wahamishe pesa ionekane kwa mlengwa uliyemkusudia... Usisahau ku attach receipt na leseni yako ya biashara kama unayo au TIN namba...
 
Asante sana ntafanya hivyo
 
Silaumu ndugu Glenn... nalia na napambana na mavijana
Ndugu
Nikuombe tumia lugha Rafiki
Error katika utendaji kazi ni vitu vya kawaida chochote anachofanya mwanadam hakiko perfect Kwa 100%

Mfano sisi mawakala huwa inatokea wakati mwingine Benki wanazidisha pesa katika akaunti zetu maana hata Benki pia huwa wanakosea

Hivyo basi kupitia changamoto hizi tutajitahidi kuongeza umakini Ili kuepuka makosa
Asante Kwa ushauri wako
 
Hata title yako inaonesha hauko makini kwenye utendaji wako wa mambo. Yaan umekoseaje?! 🤔🤔🤔 ile nambari ya malipo uliyoipata mtandaoni ulishindwa kuinakili mojamoja kwa umakini mpaka ukakosea?! 😳 vocha inakuaje?!

Okay!... Umeshindwa hata kutuliza akili ukaandika kichwa cha mada vizuri kwa kutulia chenye kueleweka?! Humohumo umechanganya spelling za kituruki, kifaransa na kireno! Vijana mna kazi sana! 😔
Wakubwa tumeelewa, alikuwa analipia Danga, sa limegoma kutoa utamu this weekend ndo anataka kurudisha muamala, kiufupi Imeisha hiyo brother🤣🤣🤣
 
Yaan hata havieleweki mkuu! Ndomana nikam-crush huyu kijana tangu huko juu! Anaonekana hajielewi huyu 🤔🤔🤔

System ya Control number iko so randomly, ukikosea inakataa kwa maana lazima ikupe na jina la anayelipa hiyo huduma. Imekuwaje huyo amekosea? Sema amekosea registration number ya Mwanafunzi naweza kukuelewa.
 
Back
Top Bottom