Niende Moja Kwa Moja kwenye hoja yangu,mm nimeona katazo la kamishina wa elimu na waziri WA elimu kuhusu watoto kutosoma kipindi Cha likizo lakin mm ningetoa ushauri wangu kuwa serikali ingelitafakar hili jambo Kwa kinasana Kwan mtoto kukaa mwez mzima bila kuwa na Kaz za kufanya za shule ni...
Habari,
Kuna rafiki yangu mmoja nilizoeana nae mda kidogo na tunafamianane kutoka na biashara zetu yeye anaumri wa 43 now. Ila kwa sasa anahali mbaya ya kiafya anaumwa magojwa yasiotibika haya kupona haiwezakani kabisa.
Sasa miaka kadhaa ya nyuma alipata mchepuko, katika kukutana na mchepuka...
Habari za jioni.
Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa.
Niende kwenye mada.
Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini kilichotokea nilishituka sana kwa hile tukio lilotokea.
Mimi nafanya kazi kwenye wizara moja hivi nipo...
Mimi intelli Kama nijulikanavyo ni mzee wa kauli ya "I mean no malice to nobody" - ila nilijuta Baada ya kwenda kumtembelea Jamaa yangu wa mkoa fulani.
Aisee Kuna watu wanapenda Shari na ugomvi Kama vile ni chakula, nami nikaona SI mbaya nikishare nanyi niliyo yaona huko. Namnukuu
Kisa Cha...
Aisee kama hujaajiriwa kipindi hichi cha Rais Samia sidhani kama utaweza tena kupata ajira za serikali.
Miaka ijayo kutakuwa na mtu atakuja kwa mgongo na sera za Magufuli naye atapata Urais, na hapo ndipo kilio kwa wasomi kitakuwa kikubwa zaidi ya kile cha awamu ya tano. Ukizingatia idadi ya...
Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri.
Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3.
Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
Habari wana JF kwenye jukwaa la elimu, kma title inavyojieleza hapo juu. Mm ni mhitimu wa F6 mwaka 2022, bahati nzuri au mbaya matokeo yangu hayakuweza kuruhusu nijiunge na degree nlipata (DEE) kwenye masomo ya combination. Nia yangu ilikuwa kusoma data science km matokeo yangekuwa mazuri. Lkn...
Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA.
Majibu yakatoka watoto wote si wake.
Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu.
Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe.
Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
Kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri unayofanya wizara ya kilimo. Mimi ni kati ya wachache niliyewahi kutoa maoni kuwa Upewe Wizara ya kilimo na Alhamdulilah Mh. Rais akakuona na ukapewa uwaziri kamili.
Kwakuwa nakujua wewe u mtu mchapakazi sana na unaejitoa usiku na mchana bila kuchoka, napenda...
Wakuu kwema?
Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
Habari wanaJamiiForums.
Mimi ni mama wa watoto 2 wakike. Sipo kwenye ndoa kwa sasa Mume wangu alifaliki miaka 6 iliyopita. Na kifo chake kiliniacha maumivu makali sana sihitaji kukumbuka kabisa. Kwani niliona watoto wawili wa kiume (mapacha) wanaumri kama wa mtoto wangu wa kwanza na wamefanana...
TCRA napenda kuwashauri kuhusiana na tovuti hasa zinazo onesha maudhui yasiyo faa. Napenda kuwashauri kuwa hakuna haja ya kufungia tovuti za ngono kwasababu tovuti hizo haziwafuati watumiaji na wala hazilazimishi watumiaji kuzifuata bali ni watumiaji ndio wanaozifuata.
Kitendo cha TCRA...
Naombeni ushauri wenu. Demu anakula pesa zangu jinsi atakavyo. Ikifika wakati wa mimi sasa kumla anakuwa na masharti
Kuna styles hazitaki. Anasema hawezi fanya mapenzi kwa style hatarishi kwake. Na anasema nyingine ni za kimalaya wakati yeye ni mtu wa dini. Sasa nikamwambia basi awe mtu wa...
CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
Habari!
Mwezi wa pili alikuja mtoto wa dada yangu kutoka mkoa wa X kuja Dar kutembea.
Inavyoonyesha alikuwa na lengo la kuja kukaa kwa ndugu yetu (mama mdogo) ila maza mdogo alichomoa mkeka kwa kumwambia kuwa amesafiri na atamtafuta pindi atakaporudi.
Hajapokea tena simu mpaka leo.
Kwa...
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu...
Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana.
This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.