D
DeletedMember281674
Guest
Nashauri katika Yale majimbo yenye ushawishi mkubwa wa Upinzani, basi wabunge wa majimbo hayo waachie ngazi kwa kujiuzulu nafasi zao za ubunge uchaguzi ufanyike na upinzani ushinde.
Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi mambo yanakuwa yameisha
Mfano: Jimbo la Arusha Mjini, Mbunge wa Sasa ajiuzulu halafu Uchaguzi ufanyike upya, LEMA achukue Jimbo. Basi mambo yanakuwa yameisha