Ushauri wenu wakuu

Ushauri wenu wakuu

Fazulo

Member
Joined
May 19, 2026
Posts
28
Reaction score
52
Habari za asubuhi JF members.

Nisiwachoche, niende moja kwa moja kwenye hoja.

November mwaka jana (2025), niliomba kazi Ajira Portal kwa mara yangu ya kwanza. Kazi niliyoomba ni REGISTRATION OFFICER II - NIDA.
Nilikuwa naisubiria anzia January mwaka huu hola hadi kufikia ijumaa iliyopita ndio nikaona Email ya kuitwa kwenye usaili tarehe 23 May 2026 yaani Jumamosi ya wiki hii.

Wakuu nimesota kitaa kuanzia January hadi sasa bila mchongo, hii fursa sitaki kuikosa.

Nina degree ya Sheria (LLB)
Wanaohitajika kwenye hiyo nafasi ya Registration officer ni watu 50.

Ushauri;
Je, nitegemee maswali gani kwenye written interview? ( inafanyika online)

Naombeni mnipe na Code zingine kwasababu ndio mara yangu ya kwanza kwenda kwenye job interview.

Ahsanteni, napokea maoni, mawazo, ushauri na pia MTU MWENYE FURSA ZINGINE. 🙏🏾
 
kwa nature ya mitihani ya hivi karibuni asilimia karibu 60-70 ni maswali ya kada lakni yanayobaki ni mchanganyiko wa general knowledge utaweza kukuta maswali ya hesabu, IT, science na english hata general knowledge ya nchi yako , jitahidi upitie hesabu na maswala mengine kama nilivyoyataja kwa sababu ukiweza kuyajibu hayo uwezekano na kuwa selected ni mkubwa ,competition ni kubwa pia
cha mwisho lower your expectations
 
Hesabu? 🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom