Ushauri wa aina ya mwili wangu.

Ushauri wa aina ya mwili wangu.

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,199
Reaction score
6,474
Mimi ni mrefu almost 6.4 ft.
Miaka 27 Nina kilo 89.

Kuanzia kichwani mpaka kiunoni ni mwembamba wa kawaida
Ila kuanzia kiunoni mpaka kwenye mapaja ni mnene kabisa tusema Nina asili ya shape na hips nahisi ni genetics nime inherit,

Je ni aina Gani ya mazoezi au life style naweza kuishi au kufanya ili niweke kuwa bora na stable.

Kifupi ni kupunguza mapaja na makalio.

Ahsante karibu sana kwa ushauri.
 
Kwani Gym wanasemaje?
 
Kwa maelezo yako upo namna hii?
file_000000007de8720a867ced94a8b5e63a.png
 
Kimbia angalau 5-7km kwa Siku.
Unakimbia kawaida dakika 2-5 unatembea haraka dakika 1. Hivyohivyo.

Zoezi la kusimama huku unanyanyua mguu huu na mguu huu. Piga 100 per day.

Piga zoezi la balance la kusimama kwa mguu mmoja dakika 1-2 alafu na mwinginw hivyohivyo

Piga zoezi la kuruka kamba.
 
Back
Top Bottom