Apo nimekuelewa ebu wajeTumeuza dhahabu Tulikuwa tunachimba wenyewe Kwa sasa hakuna maji Hadi mvua zianze kuna Kuwa na maji,
Kama unataka utajiri njoo na huo mtaji mkoani mara wilaya ya tarime kata ya Nyamongo ufungue nafaka hasa Michele na maharage.Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
Mnachimba mtoni kwa kuvuta Maji na kutoa vein ya chini baadae mnaosha au?Tumeuza dhahabu Tulikuwa tunachimba wenyewe Kwa sasa hakuna maji Hadi mvua zianze kuna Kuwa na maji,
Kama wanachimba mtoni kwa kuvuta maji na kutoa ven changamoto isingekuwa maji tena.Mnachimba mtoni kwa kuvuta Maji na kutoa vein ya chini baadae mnaosha au?
Hao jamaa hasa wazawa wa Nyamongo ni wapuuzi sana kwa wivu wa kijinga na ubinafsi hasa kwa wageniKama unataka utajiri njoo na huo mtaji mkoani mara wilaya ya tarime kata ya Nyamongo ufungue nafaka hasa Michele na maharage.
Hii seita Iko tanga wilaya gani?Kama wanachimba mtoni kwa kuvuta maji na kutoa ven changamoto isingekuwa maji tena.
Kama mishe zake ni huko migodini, mi namshauri ahamie mgodi mwingine kama mkoa wa Tanga kuna migodi kibao i.e Seita.
Akifika Moro anunue pkpk yake aende nayo huko kazi ni nyingi tu za kubeba mawe, maji n.k 50-100k ni kawaida sana kulaza kwa siku kama faida.
Ni kweli wakurywa ni wajinga sana lakn ndo hivo fursa zipo wazi sana pale hii.Hao jamaa hasa wazawa wa Nyamongo ni wapuuzi sana kwa wivu wa kijinga na ubinafsi hasa kwa wageni