Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 891
- 2,213
Kuna siku kazini tulikuwa na get together, basi tukatoka out Kama office to have dinner then later watu wakaextend wakaenda kwenye mziki, so what happened is my boss was there so nilishangaa tu kwenye my table vimeletwa vinywaji naambiwa ni offer kutoka kwa fulani ( my boss) nikasema okay though It felt weird then baadae naota na mwenzangu naambiwa boss anakuita nikaenda alikaa kwenye coner Alaf kuna Giza so akaniambia let’s dance nikasema sio shida mazingira yanaruhusu basi he started touching me romantically na nilishindwa kumtoa mkono coz sikujua nifanye nini coz I was in shock jamani na hakuacha aliendelea kunishika shika Yani nilikua naogopa
So now kazini siwezi hata kumuangalia machoni and same to him so Sijui nifnyaje jamani.
So now kazini siwezi hata kumuangalia machoni and same to him so Sijui nifnyaje jamani.