Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,323
- 6,863
Naogopa sana kukosea, au kufanya maamuzi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kuathiri maisha yangu.
Kwa kugundua hilo nimeona bora nitafute mtu wa kumuomba ushauri alafu baada ya hapo niweze kufanya yale ambayo ameielekeza.
Kiukweli kuna watu wamefanya makosa hivyo wanaweza kuwa waalimu bora zaidi kwa sisi wengine.
Karibu
Kifupi ni kwamba..
Kwasasa nina miaka 26 nipo mkoa X
Nina shahada ya maendeleo ya jamii..
Kwasasa ninafanya kazi kwenye Taasisi binafsi malipo ni 200k kwa mwezi.
Mahali ambapo Nafanya kazi ni nyumbani Yani sehemu nilipozaliwa japo sijasoma hapa.
Sasa naona kama 200k ni hela ambayo siwezi kutoka kimaisha
Nimefikilia kutafuta Fani, ambayo Fani iyo ni udereva specifically class E.
Kwasasa nina Class A¹ A² na D leseni ina miaka 4
Sasa nataka mwisho wa mwaka huu nikusanye hata laki saba nikianza na mwezi huu kupata passport (hati ya kusafiria)
Baada ya hapo mwezi wa kumi na mbili niingie kwenye udereva wa magari makubwa kama Tandi boy nijifunze udereva kama fani yangu niachane na shahada hiyo ya academy qualifications
Baada ya hapo niende NIT nisome HGV driving nipate cheti na kutafuta leseni.
Baada ya hapo kule ajira portal ndio niweke Fani ya udereva..
Pia nitumie udereva kuendesha maisha, kwenye miradi migodini nk
Ila ndoto yangu niwe Truck drive UAE au Europe..!!
Je maamuzi haya ni sahihi??? Nikomae nayo??
Nafanya hivi sio udhaifu ila naogopa kukosea.
Ahsante naomba ushauri