Punguzeni Ushauri Kwenye Maisha ya Watu!!

Punguzeni Ushauri Kwenye Maisha ya Watu!!

Dr wa Manesi

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2024
Posts
5,731
Reaction score
4,276
Acheni watu waishi wanavyotaka kwani ndani yake Kuna msivyovijua.
 

Attachments

  • IMG-20260617-WA0011.jpg
    IMG-20260617-WA0011.jpg
    73.2 KB · Views: 8
Baada ya madogo wa under 17 kula kichapo, ukapotea, waliposhinda ulituletea kelele humu
Anyway
KICHAPO CHA MAMA
 
Ushauri utatolewa utake usitake, swala la kuuchukua na kuufanyia kazi ndio swala binafsi, hulazimishwi, ila kushauriwa watu watashauri, wameshauri na walishauri vizazi na vizazi.
 
Back
Top Bottom