unstopable man
Member
- Jun 19, 2026
- 18
- 37
Habari za muda huu wakuu, bila kuwapotezea muda niende kwenye maada.
Mimi ni nina elimu ngazi ya cheti ya utabibu technician certificate in clinical medicine(NTA L5) niliishia hii level kwa sababu niligundua soko la ajira lipo sana kwa ngazi ya certificate ukilinganisha na diploma ambao kwa sasa ni wengi, lakini nawaza huko mbeleni niongeze elimu baada ya kuingia kwenye ajira serikalini hasa kwa kozi ya Bachelor of science in Health information , (NOTE; nina cheti cha form six chen ufaulu wa dvn 3 point 13 ambayo nilimaliza 2019) cheti cha NTA L5 cha certificate bado hakijatoka.
Naombeni ushauri kwa wakati huu ni bora niombe upgrading course ya diploma in clinical medicine nikamalizie au nisome foundation program OPEN UNIVERSITY ili niwe na vigezo vya kuomba bachelor degree in health information system mwakani. nawasilisha