ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kusimuliwa cha Baba na bintiye kuishia kukosana ? !

    Ni mzee mmoja akisimulia kwenye dala dala kisa cha kusikia kwa abiria wakisafiri wote namna baba na bintiye waliokuwa karibu mno kuishia kukosana. Haijulikani sababu hasa ni nini ila ndiyo hivyo anasema wameishia kukosana. Hakuweza kamilisha kisa chote alichokuwa akihadithia kwani alishuka.
  2. Kizibo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hongera kwa JWTZ kwa kutuliza nchi. Lakini Nina ushauri huu

    Moja kwa moja kwenye mada. Najua viongozi wa jwtz wako humu. Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu. Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa wingi, polisi peke yao wasingeweza kutuliza hali ikawa vile ilivyokuwa jana D9. Pamoja na hayo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Nahitaji ushauri wa watu wenu ndugu zangu wenye busara. Ninaishi Canada kwenye nyumba ya serikali (HLM) pamoja na mke wangu na watoto wangu wawili. Baba yangu ana miaka 46. Nilimchukua aishi kwangu kwa sababu alikuwa ana maisha magumu, lakini tangu ameingia kwangu maisha yamekuwa magumu sana...
  4. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Bongo zozo: Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, sipendi kuona vijana wangu muuawe

    Neno langu la Disemba 9 naombeni bakieni nyumbani, mimi sitaki kuvunjiwa moyo tena sipendi kuona vijana wangu muwawe. Nipo upande wenu Gen Z wa Tanzania tena sana ila njia za mabadiliko bora ni njia za kidemokrasia Bongo zozo
  5. machafuko jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali

    Selikali iongeze tsh 500 kwenye Kila bidhaa ili afya na matibabu yote yawe bure. Asante
  6. M

    JamiiForums Tanzania ECG inasoma hivi ushauri wenu

    Habar wakuu huwa napima ECG na majibu huwa yanabadilika ndani ya miaka3 tangu 2023 ilianza sinus rhythm with left ventricula hypertroph ,ikaja sinus bradycardia na hii yawezi huu majibu sinus rihythm ushauri wenu,nb mim magonjwa wa hyperthyroidism with diffused multnodullar goiter
  7. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  8. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais Samia

    Bibi yangu Huku Mtaani Kuna hasira inafuka sijawai kusikia wala kuona. Siku hiyo ya 9 December sidhani kama kuna polisi, jeshi au nguvu yoyote itaweza kuzima hasira walizonazo watu wa mtaani huku. Swali inabidi kujiuliza siyo je watatoka? Swali ni je itakuwa mbaya kiasi gani? Itakuwa...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Rais Samia amekiri kuwa amekutana na Yale ambayo hakuyatarajia Naamini Rais wetu amezungukwa na watu ambao sio sahihi 1. Watu wengi wamekufa, hakutarajia, nafsi inamsuta hana amani 2 Ulimwengu wa technology unamuumbua, hakuna Siri anaweza kuficha 3. Taasisi na wahisani wa kimataifa...
  10. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri kwa serikali: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Za asubuhi Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki. Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyama vya upinzani: Nia na dhamira ya Rais Samia ni njema , tutamkumbuka.

    Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Jaji Mohammed Chande Othman: Ajiuzuru kutoka katika Tume feki!

    Umekuwa Jaji Mkuu ambaye angalau Watanzania walikuwa na imani katika utendaji wako. Ulipewa heshima unayostahili na kwa kiasi fulani uliilinda. Samia anataka kukutumia ili usafishe maovu yake na damu za raia alizomwaga kwa sababu ya uroho wa madaraka! Usikubali! Mikono ya Samia imejaa damu za...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Nimepeza majembe yangu mawili ushauri tafadhali nizike nguo au wenda wakarejea?

    Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  16. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa binadamu

    Usiweke mipango mingi ya maisha Usiwe na mategemeo mengi maishani Watu wanakufa na mipango Yao kibao Furahia kila siku ya maisha yako Tunaishi kila siku siku tunakufa siku moja
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Presidential Delivery Unit (PDU) irejeshwe

    Kwako, Rais wa JMT, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote nachukua nafasi huu kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na huruma kwa kutujalia afya njema na uzima mpaka muda na wakati huu. Mhe. Rais, ni heshima kubwa kwangu kukuandikia maoni na ushauri wangu katika kusukuma mbele...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hapa Oscar Oscar katoa Bonge la Ushauri, ila kama kawaida najua hatoeleweka na ataishia Kutukanwa tu

    "MIMI NASHAURI SIKU YA UHURU MWAKA HUU SERIKALI ITOE TAMKO SIKU HIYO HAKUNA MTU KUTOKA NDANI KWA USALAMA ZAIDI," Oscar Oscar Mimi ni Mjumbe tu na Mjumbe hauwawi, hivyo kama una Mihasira yako ipeleke kwake Oscar Oscar na tusichoshane.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CCM

    Kwenye maandamano ya tarehe 9 CCM wasijaribu kutumia ile mbinu ambayo walitumia tarehe 29 watakuwa wamekosea sana na pia watakuwa wamejiingiza kwenye matatizo makubwa sana ambayo kuyazima Itachukuwa mda sana Unajua kwanini Kilichotokea tarehe 29 kiliwapa watu picha halisi ya kujua upande wa...
  20. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa serikali, iache ku-play victim bali iwajibike

    Kimsingi mzizi wa fitna (root cause) ni au umeanzia serikalini. Haiwezekani watu wote hao wakawa wamekosea harafu viongozi ndio mkawa sahihi. Hadi hayo yote yanatokea serikali ilikua wapi? maana ndie viongozi! wanaotegemewa na wananchi. Kutokua muwazi kunaweza kusababisha suluhu isipatikane...
Back
Top Bottom