Mpolah
Member
- May 24, 2026
- 41
- 82
Ushauri kwa dada mahusiano ni vita mwanaume msafi yupo kwenye vitabu vya kuandikwa ukiolewa na ndoa inayumba jiongeze mwanaume mchafu ukitaka aliyetukuka mtengeneze.
Ushauri kaka mahusiano sio hija wanawake wasafi wapo kwenye filamu za ukiigiza kwahiyo ndoa yako inapopindi jiongeze mwanamke shetani ukitaka malaika mtengeneze.