Tafadhali wataalamu na wazoefu wa jukwaaa letu pendwa
1.Gari yangu ilianza kutoa moshi mwingi kama wingu kubwa na ilikuwa inaonyesha engine check baada ya hapo nikabadilisha oil s40 na baada ya kuchange oil ikawa haitoi tens moshi kabisa na ile taa ya check engine ikazima Ila baada ya halo...
Mimi binafsi sio mtaalamu wa mambo ya afya,ila kidogo napenda kusikiliza ushauri hasa wa wataalamu.
Tokea janga hili baya la ugonjwa wa Covid -19 kulipuka nimekuwa nikishinda katika luninga na kuangalia ushauri wa wataalamu wa afya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huu.
Mfano Cnn mara nyingi...
Katika kipindi hiki cha kuzuina msongamano, akina dada na akina mama jitahidini kuwahudumia vizuri wanaume zenu/ wachumba zenu hasa wale wanaotumia vileo. Mjitahidi hata kuvaa vimini, kuwa binuliabinulia makalio, kuwa uliza kama imeisha niongeze , kuwa pigia nyimbo wanazotaka wakati mwingine...
Hello,
Mimi ni kijana mwenye umri 26. Muhitimu wa shahada ya ualimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 2016.
Nategemea kujiunga mwaka huu shahada ya pili ya development studies sasa wakuu naomba ushauri wa masters ya development studies.
Zipi faida zake kwenye soko la ajira.
First degree GPA 3.9
Habari wanajamvi,
Kwa kipindi hiki ambacho dunia yote imetoa macho katika janga hili lililosibu dunia, bas karibu kufahamu kuhusu kulimo ili uweze kuchagua na kuwekeza katika kilicho sahihi. Kabla hatutajatangaza bidhaa tutoe nafasi ya kuuliza maswali kuhusiana na kilimo cha matunda, miti na...
Kwa heshima kuu Nci yangu ni ya watu waelewa, viongozi watukufu. Mh Raisi na mamlaka yake achuur ushauri huu kuinua ari, hadhi na afya
Ujenzi wa nyumba kwa utaratibu wa aina ya nyumba na hata mapambo yanayowekwa na wananchi. Ikumbukwe hii sio biashara ni Nchi na hadhi ya watu na afya zao
Kwa...
Habari wakuu, leo nimeona si vibaya nikiwasilisha hoja zangu kwa watanzania na serikali kwa ujumla, kwanza kabisa ifahamike kuwa corona virus haikuja accidentally ilikuja kimkakati na nyuma ya huo mkakati kuna agenda mbaya sana ya kumtawala mwanadamu kidigitali, watanzania tunatakiwa kujuwa sisi...
Kuna mdada mmoja yuko Arusha aliniomba ushauri kuwa mama yake mzazi hampendi na hamtaki Boyfriend wake.
Na sababu kubwa ni kuwa huyo boyfriend alimpromise mama mkwe kumnunulia simu ya dhaman kubwa sana na hakutekeleza sasa mama anataka bint yake aachane na huyo kijana kwa njia yoyote ile so...
Wanabodi,
Naendelea kusisitiza kwenye mazuri tupongeze, kwenye mabaya tukosea na kwenye mapungufu tushauri, katika uendeshaji wa Bunge la safari hii, kiukweli wa dhati ya moyo wangu, safari hii Mhe. Spika anajitahidi sana kuliendesha vyema Bunge letu kiasi cha kustahili pongezi
Hivyo hili ni...
Ushauri wa barakoa na mkanganyiko wake
Jana Marekani na Uingereza, ambazo ni nchi zenye nguvu kiuchumi na kuongoza katika ugunduzi na tafiti za kisayansi, zimetoa kauli zinazokinzana kuhusu uvaaji wa barakoa (masks) kama njia ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa mtu ambaye...
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto
#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.
- Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
habarini!!
wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI!
hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni.......
1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
Bila Shaka mtakuwa mmejifunza kutokana na makosa. Mwaka 2015 mliwapokea wanaccm wengi waliokatwa kwenye kinyanganyiro Cha Urais, ubunge na udiwani na wengi wao walifanikiwa kushinda kwenye uchaguzi. Cha kushangaza karibia wote Hawa wamerudi Chama cha Mapinduzi.
Napenda kuvishauri vyama vya...
Moja kwa moja kwako kwenye mada.
Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo.
Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
Habari wakuu, nilikua napenda kuchukua hii german car , volkswagen up ya 2012- coz ina cc ndogo(1000) pia nimependa muonekano. wasiwasi sijawahi ziona bongo kwahiyo sinahakika kama mafundi wako vizuri kweny hivi vigari.
Naomba ushauri wenu au nipambane na Passo tu?
Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona.
Serikali kupitia waziri wa...
Habari zenu,
Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom.
Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom!
Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
Moja kwa moja kwenye mada:
Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa.
Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
Habari zenu wanabodi.
Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo.
Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa kodi, kutafuta leseni, n.k. Baada ya kuanza biashara, kila baada ya miezi 2 nilikuwa naongeza 2M ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.