ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mtoto tangu afanyiwe tohara mfumo wa utokaji wa mkojo umebadilika

    Natumai hamjambo wakuu wakuu kuna Mtoto wa mwaka mmoja na sehem, sasa tangu afanyiwe tohara amepona lakini akikojoa hakojoi direct yaani mkojo unatoka kidogo then baada ya mda unatoka tena. Je, hali hii ni kawaida au kuna tatizo nikapeleke hospitali?
  2. KichwaBOGA

    JamiiForums Tanzania Kama mnajua hamna chaji, ya nini kututia shombo?

    Hivi kwanini mnajidhalilisha? Iko hivi, kuna mkaka mmoja alinitoa..anaonekana dume six pack ila hamna kitu kwenye gemu. Eti dakika 5 kashamaliza anahema ka mjusi hata hajielewi, akazima kabisa nikampepea akazinduka hawezi round nyingine. Kama mnajua hamna chaji ya nini kututia shombo?
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Kwanini siku ya kupiga kura kusiwe na daftari kusajili waliopiga kura kulinganisha na idadi ya kura zilizopigwa vituoni?

    Kujiandikisha kupiga kura ni jambo moja na kupiga kura ni jambo la pili na siku ya kura ni wazi sio wote wanakuwa eneo waliojiandikisha au watakaokwenda kupiga kura. Naona kuna haja ya siku ya kura kuwe na dafrari la kuhakiki/kuandikisha wanaokuja kupiga kura ili idadi ije ioane na kura zilizo...
  4. ECPENDABLE

    JamiiForums Tanzania Kilimo kipi kitafaa mtaji kwa mtaji wa Tsh. Milioni 7.5?

    Wataaalam na wanazengoo kilimo kipi kinalipa mtajii milon 7.5 isiwe tuu perishable fruit na maanisha vyakula vya kuoza hapana sitaweza kulima nataka mazao yenye life span kubwa nakaribisha ushauri.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Kuna umuhimu kuridhisha wakwe wa siku hizi?

    Salam sana, naandika hapa nikiwa sina ujuzi wowote wa kiuandishi, kwenye makosa mtanisamehe. Ninachotaka kuelezea hapa na kuomba ushauri wenu ni experience yangu binafsi ambayo nadhani sijapata mtu sahihi bado wa kuongea nae vizuri akanielewa. Mimi ni kijana fulani wa makamo, katika miaka ya...
  6. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Singida Magaribi CCM tunaweza kulipoteza kwenda CHADEMA 2020

    Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya mzee wangu makamu mkuu wa chuo cha UDSM Prof Mukandara. CCM chama changu pendwa, kuna malalamiko...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni taasisi gani inayotoa ufadhili kwa ngazi ya Diploma?

    Habari zenu wana JF. Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana nimeomba chuo diploma ya afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa sehemu wanayofanya ufadhili wa masomo

    Habari zenu wana JF, Nilikuwa naomba ushauri/msaada kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhilibwa masomo kwa ngazi ya Diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana nimeomba chuo Diploma ya Afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada
  9. Ahmad Abdurahman

    JamiiForums Tanzania Wamiliki/waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa tupeane ushauri, tujue changamoto na jinsi ya kumudu biashara hii

    Wakuu wasalaam. Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k. Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani, nimepewa taarifa binti yangu wa kazi ni mjamzito

    Waungwana wa Jf, Nimetoka mkoa ninaoishi nikasafiri mkoa mwingine kwa ajili ya mapumziko na kuweka akili sawa. Nyumbani nikimuacha binti wa kazi ambae nimekaa naye kwa muda wa mwaka mmoja sasa, ni binti mchapakazi, na asiye na kiburi na pia ni msafi sana, shida yake kubwa ilikuwa akiwa na...
  11. Ndama Jeuri

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kisheria katika hili, nataka nivunje uchumba na huyu mwanamke

    Habari za asubuhi wana jukwaa la sheria, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa miaka 23, nilifanikiwa kwenda kwao kujitambulisha na nikawa kwenye mpango wa kupeleka posa mwezi January mwaka huu, lakini ukatokea mvutano baina ya mama yake binti na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Laizer wa Tanzanite

    Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza. TSH: 7.7B Kodi makadirio: 25%: TSH 1.925B Unabaki na: TSH 5.8B Weka pesa fixed deposit 10%: TSH 578M kwa mwaka Weka pesa fixed deposit...
  13. covid 19

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ushauri kuhusu hii mirathi

    Wakuu ipo hivi, kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu. Mzee wangu alifariki miaka 3 iliyopita hivyo aliacha baadhi ya mali km nyumba 3 na mashamba, nyumba mbili zipo dodoma hizi...
  14. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa "masupastaa"

    Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari". Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua na public interest na watu wanaweza kukuchambua wapendavyo iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Hiyo ndio...
  15. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri kunusuru upinzani ‘kidharura’: CHADEMA msimamisheni Membe, ACT msiweke mgombea bara; Haitawapa ushindi ila itawasaidia kuendelea ku 'savaivu'

    Disclaimer; Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani kutasababisha CCM isiwe na pa kujipimia na hivyo ubora wake kuyumba.Kama Simba ikipotea kabisa, hatuwezi...
  16. Kuku kwiyoyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ninamtaji wa milioni 3 lakini sijui nifanye biashara gani

    Habari wanaJamiiForums Nirudi kwenye Mada husika. Mimi ni mwanachuo kilichopo Dodoma nipo mwaka wa kwanza. Sasa hapa nilipo nilikuwa nina milioni tatu lakini natamani zijizalishe ili nitakapomaliza masomo niwe na mtaji mkubwa lakini sijajua nifanye biashara gani ambayo haitoniaribia ratiba ya...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

    Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
  18. J

    JamiiForums Tanzania COVID19: Ushauri kwa Watalii au Wasafiri wanaotoka Tanzania kwenda maeneo mbalimbali nje ya nchi

    Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya. Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani

    Dodoma. Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani ili kuzuia ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa ameliambia Bunge leo Ijumaa Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction Corporation kutoka...
  20. gonamwitu

    JamiiForums Tanzania Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

    Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa 1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
Back
Top Bottom