MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,650
- 48,413
Huu hapa ushauri wa mganga mkuu wa serikali halafu wakuu wa mikoa wote na viongozi wa ngazi za juu wote wanahubiri visivyo na kupishana naye, nafikiri corona ilikuja kipindi kibaya sana Tanzania wakati wanaelekea kwenye uchaguzi, maana kwamba wanasiasa lazima wateke shughuli zote na kuibuka na kauli za kiajabu ajabu hata kama zinawaweka mamilioni ya wananchi kwenye hatari.