Ushauri: Jinsi ya kulea mtoto huku ukisoma

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,893
3,423
Wasalaam

Kuna kamjomba kangu kalipata ujauzito kakiwa Semester ya Kwanza Degree ya kwanza, sasa hivi mtoto anaelekea miezi 6.

Je, anawezaje akaendelea na masomo huku analea? Au mtoto apelekwe kwa Bibi?
 
tafuta mdada wa kazi mpange karibu na chuo..
Ongea na wa kwenu huko kijijini apatikane binti wa kazi ambaye kwao panafahamika vzr then huyo ndugu yako apange karibu na chuo mda ambao hana kipindi atakua anaenda kunyonyesha na kumuona mtoto.Muhimu mshauri apunguze gegedo zisizo na mpangilio kuepuka ujauzito mwingine!
 
Back
Top Bottom