TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa .

TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike.

Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigadia John Mbungo amesema Kwenye shirikisho la Mpira nchini TFF Kuna Fedha zimetumika vibaya amesema baadhi ya wameitwa na kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa

> Amesema kuwa watu hao wana hiari ya kurejesha fedha ama kusubiri uchunguzi ukamilike

>. Amesema kuwa miongoni mwa fedha hizo ni zile zilizo tolewa na Rais John Magufuli

TFF wajibu > Baada ya TAKUKURU kusema itawahoji TFF kuhusu Bilioni 1 ya AFCON ya vijana iliyotolewa na Rais Magufuli, TFF yasema haijawahi kupokea fedha hizo

NB: Kuna nini TFF kwanini kila awamu inayoingia lazima ipige hela .
 
Tifutifu kuna hela, dola 500K za fifa si haba pamoja na mazaga mengine!

Juzi kuna kiongozi aliwekwa mtu kati akabwabwaja tu bila kutoa majibu ya msingi!

Zitatokea popote penye tundu, ila hata zikitoka ni hao hao tu wataendelea kuzimega hivyo ni suala la kutesa kwa zamu na kuonesha upo uwajibikaji lakini nyuma ya pazia wanagonga meza!
Hakuna asiyependa hela.
Kwani takukuru kwao fedha ni mavi?
 
Updates
20200515_174138.jpeg
 
TAKUKURU: TFF KUNA FEDHA ZIMETUMIKA VIBAYA

Mkurugenzi wa TAKUKURU Brigadia John Mbungo amesema Kwenye shirikisho la Mpira nchini TFF Kuna Fedha zimetumika vibaya amesema baadhi ya wameitwa na kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa

> Amesema kuwa watu hao wana hiari ya kurejesha fedha ama kusubiri uchunguzi ukamilike

>. Amesema kuwa miongoni mwa fedha hizo ni zile zilizo tolewa na Rais John Magufuli

Mytake:
Wallace Karia alitumia mbinu chafu kupata uenyekiti wa TFF mwaka 2017 kwa kumhusisha mpinzani wake Malinzi na kesi ya kutakatisha fedha. Akamtema na Makamu aliyechaguliwa kikatiba Michael Wambura naye kwa kesi ya kutakatisha fedha. Je KARIA atachomoka kwenye sakata hili?
IMG-20200515-WA0023.jpg

====
1589615002345.png
 
Back
Top Bottom