Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani

Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza kuondoka

Amesema chanjo inaweza kupunguza madhara ya #CoronaVirus, lakini chanjo inapaswa kuwepo na kuwa na ufanisi wa hali ya juu na kupatikana kwa kila mtu duniani

======

The new coronavirus may never go away and may just join the mix of viruses that kill people around the world every year, Dr. Mike Ryan, executive director of the World Health Organization health emergencies program, said Wednesday.

"This virus just may become another endemic virus in our communities and this virus may never go away. HIV hasn’t gone away," Ryan said.
"I’m not comparing the two diseases but I think it is important that we’re realistic. I don’t think anyone can predict when or if this disease will disappear," Ryan added.

With a vaccine, "we may have a shot at eliminating this virus but that vaccine will have to be available, it will have to be highly effective, it will have to be made available to everyone and we’ll have to use it," Ryan said. "This disease may settle into a long-term problem or it may not be."

Yet the future of coronavirus does not have to be all doom and gloom, according to WHO infectious disease epidemiologist Dr. Maria Van Kerkhove.

"The trajectory of this outbreak is in our hands," Van Kerkhove said during Wednesday's briefing.

"The global community has come together to work in solidarity," Van Kerkhove said. "We have seen countries bring this virus under control. We have seen countries use public health measures."

WHO director-general Tedros Adhanom Ghebreyesus echoed Van Kerkhove's sentiments on Wednesday and added, "We should all contribute to stop this pandemic."
 
Ikiwa hivyo.

Basi life span itazidi kushukaa, yaani itafikia hatua unaogopa uzee sababu ya corona.

Binafsi sioni hii kitu ikiisha hivi karibuni, Ila kuisha au kutoisha sio tatizo sana, tatizo ni kutopatikana kwa chanjo au tiba, hapa ndio tutatafutana
 
Ikiwa hivyo,
Basi life span itazidi kushukaa,
yaani itafikia hatua unaogopa uzee sababu ya corona.

Binafsi sioni hii kitu ikiisha hivi karibuni,
Ila kuisha au kutoisha sio tatizo sana, tatizo ni kutopatikana kwa chanjo au tiba, hapa ndio tutatafutana
Maneno ya kuwa tutaishi nayo kama tunavyoishi na UKIMWI ndio yatatimilika
 
Mfumo wa magufuli mtauelewa tu!
Hii kitu tutaishinayo kama watu wanavyoishi na magonjwa mengine na yanaambukizika kirahisi mfano homa ya ini
Tatizo hii kitu ina ambukiza kirahisi sana. Tatizo hii kitu inua wengi na kwa haraka kuliko homa ya ini.

Anyway, naona huu ugonjwa ukiweka kambi duniani kama HIV au sulua na mengineyo.
 
Tatizo hii kitu ina ambukiza kirahisi sana.
Tatizo hii kitu inua wengi na kwa haraka kuliko homa ya ini.

Anyway, naona huu ugonjwa ukiweka kambi duniani kama HIV au sulua na mengineyo.
Kwa nini sasa usiachwe utumalize wote tulio wadhaifu halafu watakaobaki wabaki salama
 
Back
Top Bottom