ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO: Corona Virus inaweza isiondoke

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Afya Duniani ‘WHO’ amesema #CoronaVirus wanaweza wakaendelea kuwepo na kujiunga na virusi vingine vinavyoendelea kuua watu duniani Amesema hafananishi virusi hivyo ila ni vyema kujua uhalisia, kwa kuwa hakuna anayeweza kutabiri siku ambayo ugonjwa huo unaweza...
  2. Viol

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Kwenye TFF kuna hela zimetumika vibaya

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa imesema shirikisho la mpira(TFF ) kuna hela zimetumika vibaya,baadhi ya watuhumiwa wameitwa kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa . TAKUKURU imesema watu hao wana hiari ya kurudisha hela au kusubiri uchunguzi ukamilike. Mkurugenzi wa TAKUKURU...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu ujenzi

    Habari zenu ndungu zangu, Ninauwezo wa kuweka akiba ya Laki 4 kila mwezi. Nina kiwanja changu cha m 27 kwa 20 pale Mbezi ya Kimara. Maswali yangu ni yafuatayo : 1) Je, naweza kujenga nyumba ya vyumba 4 hapo? 2) Nianzie wapi katika project ya ujenzi wangu? Ninunue kwanza matofali? Shukran kwa...
  4. Witmak255

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Bado sijaoa, nimeasili watoto wawili kutoka kituo cha kulelea Watoto Yatima bila kutarajia napata changamoto kubwa ya maneno kutoka kwa ndugu

    Habari zenu ndugu zangu, ku-adopt mtoto yatima ilikuwa ni ndoto na lengo langu la mda mrefu sana na hili lilinifanya niwe natembelea vituo vya kulelea watoto yatima na kutoa msaada mara nyingi pale ninapojariwa kitu. Mwaka jana nilienda kutembelea kituo flani cha yatima ili kutoa...
  5. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu wa bure tu kama unajijua/ukijijua kuwa wewe ni ama Mwanaharakati au Mpingaji wa Mamlaka

    1. Acha Kuwaamini kwa 100% wale Watu wanaojifanya ni wa karibu Kwako. 2. Tumia ID iliyo anonymous na siyo ile ambayo inakutambulisha Kiuhalisi na wengi wanaijua. 3. Acha kupenda hovyo Wanawake au Wanaume kwani kwa 100% hao ndiyo watatumika Kukumaliza. 4. Hakikisha Mizunguko yako yote ya Siku...
  6. Kagosi DJ

    JamiiForums Tanzania Jambo la muhimu kwa watanzania wote ni kuendelea kuchukua tahadhari zote zinazotolewa na Serikali pamoja na wataalam wa afya kuhusu Corona

    HUU SIO USHAURI NI UCHONGANISHI Kwa wakati huu taifa linahangaiaka kupambana na janga la corona lililo ikumba dunia. Watanzania waliowengi wanaelewa mambo ya msingi kuhusu ugonjwa huu hatari na hili haswa ndio jambo la msingi kwa wakati huu. Lakini tusijisahaulishe hali yetu halisi kwamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara

    Je, ni bidhaa gani kutoka bara la Ulaya (Europe) zinafaa kwa biashara Tanzania. Kuna kampuni inasafirisha mizigo moja kwa moja East africa, ningependa kufanya partnership pamoja nao. Asanteni kwa maoni yenu.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

    Habari zenu, Nimekuja na ID mpya ili kuficha utambulisho wangu wa awali ni kuomba msaada wa ushauri. Naombeni ushauri na njia za kutatua tatizo hili.Ipo hivi kwenye tumbo la Mama yetu tulikuwa watoto 7 hadi Leo hii tupo 4. Katika watoto 7 tumezaliwa na Baba tofautitofauti 4. Katika hao baba...
  9. guwe_la_manga

    JamiiForums Tanzania Mishikaki ya Nemba: Maoni na Ushauri

    Wakuu wasaalam, Poleni na changamoto ya baa la korona. Mimi ni mchoma mishikaki ya ng'ombe inayotokana na nyama ile ya juu ya tumbo, ile yenye nyuzi nyuzi ijulikanayo kama Nemba. Kwa hapa nilipo Nemba moja inakost kati ya 8k-12k. Na ukiikata vizuri inatoa mishikaki kati ya 100-200 Ukipata...
  10. Ndama dume

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi na ushauri kuhusu ubora na udhaifu wa hii gari

    Habari za asubuhi wanajamvi. Naomba msaada kujua uimara wa hizi gari sifa za uzuri wake na ubaya wake pia, na kuhusu spare zake hapa nchini kwetu zinapatikana? Je! Ili iweze kudumu na vitu gani mhimu vya kuzingatia wakati wa uendeshaji na je vipi kwa barabara za vumbi inaweza himili? Baada ya...
  11. Kuku kwiyoyo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nampenda lakini sijui niendelee kumtongoza au niache

    Habari zenu jamani kwanza niwape pongezi kwa ushauri wenu unatusaidia sana Mimi ni Mwanachuo wa SAUTI ninaomba ushauri, wakati nafika Chuo Mwaka wa Kwanza kwenye orientation nilikutana na mdada mmoja alikuwa haelewi kinachoendelea kwenye orientation sa kwa huruma yangu nikaona nimsaidie...
  12. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

    Wanabodi, Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake. Je? Tatizo ni...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Usiwalishe watoto tembele kila siku na kutokuwanunulia nguo mpya kisa unajenga.

    Huu ni ushauri kwa mzazi/wazazi. Ukitaka kujenga au kufungua biashara katu usibadili mfumo wa maisha wa wanao kwa kuwanyima baadhi ya huruma au vitu walivyokuwa wanavitarajia kutoka kwako mzazi. Mioyo yao ikiumia hutafanikiwa kumaliza ujenzi, na ukimaliza hiyo nyumba itakosa baraka...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Vituo vyote vya Redio na Runinga viwe na vipindi maalum vya jinsi ya kujifukiza

    Habari Wana wa JF. Kutokana na ushauri mujarabu wa Rais Magufuli ambao pia umepokelewa kwa shangwe hata na wataalamu wa Afya, nashauri vituo vya Redio na Television vianzishe vipindi maalumu vikituelekeza jinsi ya kujifukiza dhidi ya Covid 19. Hatua hii ni muhimu sana katika kipinndi hiki cha...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wabunge wachangie hoja zao kwa maandishi na yatumwe kwa teknolojia, au laa, video wazirekodi zitumwe kwenye mfumo wa Bunge

    Hii inaweza kuwa mbadala kwa Bunge, michango yote iwe kwa maandishi kutoka wanakoishi na ihesabiwe kwamba yuko bungeni, au au watumie teknolojia ya video,ajirekodi huko aliko katika mazingira nadhifu anatuma video katika mtandao wa Bunge, Bunge linarusha laivu
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwako Diamond

    Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua. Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa yakibinadam. Tunajua mama anamchango mkubwa kufika ulipo bt tambua mbegu ya mzee abdul ndo chanzo cha...
  17. Lakunle

    JamiiForums Tanzania USHAURI TAFADHALI:mke kagoma kubadili dini yake

    Wasalaam wandugu... Kabla sijamwoa alinijua kuwa Mimi ni muislam,aliniahidi kubadili dini ila nimpe mda.maisha yamesonga miaka imepita tumejaaliwa kuwa na familia Siku za hivi karibun mwenzangu nikaona amenunua kitabu Cha tenzi za rohoni ...baada ya chakula cha jioni anaanza mapambio...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya duka la rejareja msaada ushauri

    Hbr ndugu. Nimeshalipa frame sehemu ambayo imechangamka na haina maduka mengi ya mtindo huo. Naomba ushauri mtaji wangu si mkubwa sana ni vitu gani vya muhimu vinavyotoka sana ili nianze navyo? Lakini pia ushauri wowote unao ona utanifaa ili nijikongoje mdogo mdogo. NB Naomba ushauri pia juu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria wa jinsi ya kumchukua mtoto baada ya kutokuwa na maelewano na mzazi mwenzangu

    Habari za mchana wote! Kuna kaka yangu mmoja tunaheshimiana sana naye , Ana mke wake sasa ndoa imemshinda anataka kumchukua mtoto kutokana na kwamba Hana mahusiano mazuri na huyu mke mke anaishi mwanza na yeye yupo Dodoma. Lakini mtoto alimpata baada ya kuwa kwenye mahusiano na huyo dada akiwa...
Back
Top Bottom