Habari zenu wana JF.
Nilikuwa naomba ushauri/msaada. Kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhili wa masomo kwa ngazi ya diploma kwa wale wasioweza kumudu ada.
Mimi ni kijana nimeomba chuo diploma ya afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada.
Habari zenu wana JF,
Nilikuwa naomba ushauri/msaada kama kuna yeyote anaefahamu taasisi au sehemu wanayotoa ufadhilibwa masomo kwa ngazi ya Diploma kwa wale wasioweza kumudu ada. Mimi ni kijana nimeomba chuo Diploma ya Afya lakini nimeshindwa kuendelea sababu ya ada
Wakuu wasalaam.
Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k.
Binafsi mm ni mwajiriwa sekta binafsi, nimeamua kununua pikipiki ili nikiwa nipo off niweze...
Waungwana wa Jf,
Nimetoka mkoa ninaoishi nikasafiri mkoa mwingine kwa ajili ya mapumziko na kuweka akili sawa. Nyumbani nikimuacha binti wa kazi ambae nimekaa naye kwa muda wa mwaka mmoja sasa, ni binti mchapakazi, na asiye na kiburi na pia ni msafi sana, shida yake kubwa ilikuwa akiwa na...
Habari za asubuhi wana jukwaa la sheria,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu. Nipo kwenye mahusiano na binti mmoja wa miaka 23, nilifanikiwa kwenda kwao kujitambulisha na nikawa kwenye mpango wa kupeleka posa mwezi January mwaka huu, lakini ukatokea mvutano baina ya mama yake binti na...
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza.
TSH: 7.7B
Kodi makadirio: 25%: TSH 1.925B
Unabaki na: TSH 5.8B
Weka pesa fixed deposit 10%: TSH 578M kwa mwaka
Weka pesa fixed deposit...
Wakuu ipo hivi,
kwetu tulizaliwa wawili tu mimi mkubwa na mdogo wangu wa kike, nipo naishi dodoma pamoja na familia yangu yaani naishi na mke wangu mama na mdogo wangu.
Mzee wangu alifariki miaka 3 iliyopita hivyo aliacha baadhi ya mali km nyumba 3 na mashamba, nyumba mbili zipo dodoma hizi...
Kuna mwanamuziki amewahi kusema "usupastaa ni zigo la misumari".
Unapokuwa supastaa, jamii inakuwa na haki ya kukusulubisha ipendavyo kwani wewe ni "public figure" na chochote unachofanya kinakua na public interest na watu wanaweza kukuchambua wapendavyo iwe kwa uzuri au kwa ubaya. Hiyo ndio...
Disclaimer;
Mtoa ushauri huu ni mwana CCM anayeamini katika demokrasia. Anaamini CCM imara itatokana na uwepo wa upinzani bora kwa kuwa CCM itapata kioo cha kujitazama, na kufa kwa upinzani kutasababisha CCM isiwe na pa kujipimia na hivyo ubora wake kuyumba.Kama Simba ikipotea kabisa, hatuwezi...
Habari wanaJamiiForums
Nirudi kwenye Mada husika. Mimi ni mwanachuo kilichopo Dodoma nipo mwaka wa kwanza. Sasa hapa nilipo nilikuwa nina milioni tatu lakini natamani zijizalishe ili nitakapomaliza masomo niwe na mtaji mkubwa lakini sijajua nifanye biashara gani ambayo haitoniaribia ratiba ya...
Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown
Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA.
Chanzo: Daily News Tanzania
Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya.
Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
Dodoma. Serikali imeanza kujenga daraja jipya eneo la Wami mkoani Pwani ili kuzuia ajali ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa ameliambia Bunge leo Ijumaa Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction Corporation kutoka...
Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa
1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:-
Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama.
Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi.
Swali langu ni je...
Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja hivi, kutokana na mapito ya kukosa kazi na kuangaika mtaani, nilijichanga mnooo mnoo nilijichanga kupita...
Habari wadau..
Nimesikia simba wanamtaka morrisson.. nikashangaa sana.. simba imesajili watu wengi wazuri mbele ila bado inahangaika..
Kwa uzoefu wangu wa kutazama caf champions league nimejifunza mengi sana..
Mpira wa africa una tofauti kubwa na wa ulaya.. ushindani wa caf champions...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.