Naomba ufafanuzi na ushauri kuhusu ubora na udhaifu wa hii gari

Ndama dume

JF-Expert Member
Nov 1, 2019
858
1,480
Screenshot_20200509-104836_Chrome.jpg

Habari za asubuhi wanajamvi.

Naomba msaada kujua uimara wa hizi gari sifa za uzuri wake na ubaya wake pia, na kuhusu spare zake hapa nchini kwetu zinapatikana?

Je! Ili iweze kudumu na vitu gani mhimu vya kuzingatia wakati wa uendeshaji na je vipi kwa barabara za vumbi inaweza himili?

Baada ya hapo naomba pia wataalamu wa kodi mje hapa je hii gari mpaka naipata mkononi hapo nitaitoa bandarini kwa Shilingi ngapi?
Karibuni ndugu zangu kwa ushauri kwa mdogo wenu
 
Sina ozoefu sana, na hizi zinazotokea singapore
Maana wengi niliowaletea, walikua wanahitaji zinazotokea japan straight, not from singapore. Sasa nashindwa ni kwa namna ipi niweze kulushauri

Aidha, kama umeipemda tunaweza kuwasiliana, baada ya mikataba, ukalipia hiyo cof japan, sisi ikofika tunakulipia ushuru
 
Japan beibe achana na Singapore
 
Sina ozoefu sana, na hizi zinazotokea singapore
Maana wengi niliowaletea, walikua wanahitaji zinazotokea japan straight, not from singapore. Sasa nashindwa ni kwa namna ipi niweze kulushauri

Aidha, kama umeipemda tunaweza kuwasiliana, baada ya mikataba, ukalipia hiyo cof japan, sisi ikofika tunakulipia ushuru
Ok sawa ushuru inagharimu ngapi?
 
Camry ipo kwenye luxury section kodi yake hapo lazima ukae chini...ulie
 
Back
Top Bottom