ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kupata volunteer Pomoja na wafadhili wa kujenga shule

    Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado ni changa sana na imeanza mwaka huu. Tunatakiwa kujenga vyumba vya madarasa pamoja na ofisi za...
  2. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Ku renew line Tanzania ni kama kusajili kiwanda: Mamlaka chukueni ushauri huu

    Hivi majuzi nilipoteza simu iliyokuwa na line ya mtandao fulani (sitautaja) kwakuwa ni line inayofahamika zaidi nilitembelea duka la mtandao husika ili wanisaidie kurudisha, baada ya maelekezo mafupi walinielekeza kwenda kituo cha polisi cha kati, polisi nao walinipokea na kuniuliza tarehe ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuanzisha huduma ya kiroho

    wakubwa,nimetafakari kuanzisha huduma ya kiroho kama ile ya mwammposa ya kuondoa matatizo ya watu kupitia ukanyagaji na upakaji wa mafuta lakini sijui nianzie wapi Kwahiyo kwa mwenye uelewa kuhusu hizi huduma tafadhari nijulishe natakiwa nifanye nini ili na mimi huduma yangu ifanikiwe Na labda...
  4. Bonlove

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

    Habarini na poleni na majukumu, Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine). Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida)...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Ushauri jamani bandugu

    Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi. Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe. Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa...
  6. public zungu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kwenye TV

    kesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
  7. Kitombise

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rais Magufuli na Serikali yake kwa ujumla

    habarini za wakati huu. Ushauri wangu kwa rais ni kumpa mbinu ambazo atazitumia kutatua changamoto za kifedha kama world bank(WB) watasitisha kutupa mkopo wa $500million tuliokuwa tunatarajia kuupata ili tukatatue changamoto katika sekta ya elimu nchini. "japo kuna wanyapiaji nyuma ya pazia...
  8. DocJayGroup

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

    Wadau Yamenikuta. Sitaki kuandika story ndefu sana. Lakini huyu mdada nilikutana naye nilivyokuja Tanzania na alinifanyia vituko ambavyo kwa kweli siwezi kuviandika hapa. Tokea nimwache amekuwa ni ghasia kweli. Nilishapima mimba naye na nikamkuta ameficha mkojo kwenye nguo ya ndani sababu...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaume wenzangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, napenda kuutumia muda huu kuwaomba na kuwashauri wanaume wenzangu kuwa, ikitokea umempa binti/msichana mimba katu usiikatae lea mimba kisha lea mtoto hata kama hautaki kumuoa huyo mwanamke. Single mothers wanateseka sana jamani; kulea mimba na pia kulea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Barabara ya kutokea Rusumo haipitiki kwa siku mbili sasa

    Niandikapo uzi huu ni kuwa hatimaye miraculously nimebahatika kutoka Nyabugombe katika barabara Rusumo kuelekea Rusahunga njia kuu iendayo Dar baada ya kuwepo hapo kwa siku karibia 2. Kwa hakika hii haina tofauti na escape from Sobibo. Wengine wengi watoto na kina mama bado wapo pale. Si chini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ya awamu ya 5 ijifunze kutumia lugha ya kidiplomasia!! Ubabe haujengi, unabomoa

    Kwa muda sasa tangu serikali ya awamu ya Tano ilipoingia madarakani, kumekuwa matumizi ya lugha ambayo inaakisi uelewa mdogo wa diplomasia ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi ukilingamisha na utawala wa Mzee Jakaya. Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wamekuwa wakitumia maneno yasiyofaa...
  12. proxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta kwa huyu msichana, naomba ushauri wenu

    Habari za muda huu wana JF, Siku kadhaa zilizopita niliomba ushauri wa kuhitaji zawadi ya kumnunulia huyu msichana, nashukuru kwa michango yenu kwa wale wote walionichangia Hivi huyu manzi nataka kumnunulia zawadi, binafsi nilifanikiwa kumnunulia zawadi na aliipokea ingawa hakulizishwa sana kwa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Rayvanny

    Mwanamziki wa kimataifa Rayvanny Boy mwenye sauti tamu Kama vanilla au ukipenda unaweza kumwita chui kutoka kwenye moja ya label kubwa Africa WCB, hivi karibuni ameandaa project inayoitwa Flowers ambayo ataitoa kwenye siku maalumu ya Valentine's Day yenye track 8 zikiwa zimekuwa produced na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natokea Dar es Salaam kwenda Udzungwa naomba ushauri wa basi zuri la kupanda

    Habari nataka kutumia public transport kutoka DSM to udzungwa msaada mabasi yapi ndio uhakika. Luxury sanasana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

    Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
  16. Guacamole

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya barber shop

    Habari za muda viongozi. Ningependa kupewa dodoso juu ya biashara hii ya vinyozi. Nahitaji kujua kiwango cha chini cha gharama ya kuanzisha huu mradi, kwa sababu nataka nimfungulie kijana ambae ndio kinyozi mwenyewe, apate japo shughuli ya kufanya. Mimi nikiwa kama mmiliki wa mradi huo.
  17. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Mh Dk. Kigwangalla

    Habari za leo Watanzania wenzangu wote ambao mtatumia muda wenu mfupi sana kusoma maoni yangu haya ya kumsaidia MH Hamis Kigwangala Waziri wa Mali Asili na Utalii (mzee wa field). Mapema jana nikiwa ninapitia magazeti nilikutana na gazeti la Jamhuri lenye kichwa cha habari kilichoandikwa kwa...
  18. BLUE BALAA

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa elimu

    Wadau naombeni kuelimishwa. Binti yangu kamaliza Form Four kapata Div 1 ya point 10. Alifanya masomo ya biashara na kafaulu vizuri katika masomo husika. Safari yake ya maisha anataka kuja kuwa Diplomat. Je ni combination gani asome A-level ambayo itakuwa na mchango katika safari yake?
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mgonjwa hapa kwangu

    Wakuu amani iwe kwenu, Naenda kwenye mada moja kwa Moja, Wiki Moja kabla ya Xmass nikiwa Nimetuna sehemu karibu kabisa na home napiga zangu masanga, mara ghafla kaja dada yangu, akaniambia fulani anakuita (jina kapuni) basi bwana dakika sifuri nikafika nilipoitwa basi ikawa hivi: Ooh Samahani...
  20. Cobra70

    JamiiForums Tanzania Mtazamo kuhusu kupunguza tatizo la ajira kwa vijana

    Kwanza, napenda kumpongeza mheshimiwa raisi kwa kutekeleza kwa vitendo miradi ya umeme na miundombinu mana vitu hivi ni muhimu ili kufikia nchi ya viwanda. Ushauri Ningependa kumshauri mheshimiwa raisi awamu ijayo ajikite katika sekta ya kilimo yaani kilimo cha kibiashara mana asilimia kubwa ya...
Back
Top Bottom