umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?

    Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana. Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga. Wewe je...
  2. nyamchele

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi mwenye Umri mdogo zaidi ahitimu Shahada ya udaktari Kairuki University akiwa na miaka 21

    Mwanafunzi huyo atakuwa miongoni mwa wahitimu 138 wa fani ya udaktai katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) kwenye mahafali ya 21 yatakayofanyika siku ya Jumamosi. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam Makamu Mkuu wa chuo cha (HKMU), Profesa Yohana Mashalla wakati...
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

    Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita. Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuanzishwa kwa umoja wa wabunge wa CCM wa chini ya umri wa miaka 45, Ni ishara mbaya kwa waliouringia ujana 2015

    Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee? Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
  5. Satirical Yet Awesome

    JamiiForums Tanzania Ulianza kunywa pombe ukiwa na umri gani?

    Nahisi kuna mapepo ya kunywa pombe yananifatilia. Mzee wangu huwa anapenda kuhifadhi pombe kwenye fridge, yaani ukifungua fridge hukosi pombe, anapendaga aina ya Heineken na desperados. Zikiisha kweny fridge, utamsikia "Oya dogo natoka mara moja narudi asaiv"....akirudi lazima awe amebeba bia...
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mume na Mke Msipishane Sana Umri

    Naona wengi hapa wanasifia kulelewa na mashangazi na maGodfather wa umri sawa na babazao. Leo niwachane wazi tu kuwa kuna karaha nyingi kama mume na mke mmepishana pakubwa kiumri. Kero nyingi ni za utofauti kimtazamo. Yani fikilia wewe mubaba wa enzi za msondo unaoa kitoto cha hizi enzi za kina...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katibu wa UVCCM Lulandala ana umri gani? Mbona kama umri umesogea?

    Naona kama Lulandala anaelekea 50yrs ; kwanini kateuliwa kuwa katibu wa UVCCM? Lakini pia kwanini vijana wa CCM wasijichagulie katibu wao? Lini watapevuka kama hata viongozi watapangiwa?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

    Juzi akiwa anasherehekea birthday Wema akadai kuwa ana miaka 33. Lkn vyanzo vingine vya taarifa za kuaminika zinaonesha tofauti. Mfano Wikipedia inaonesha Wema amezaliwa 1988 na kumfanya Wema kuwa na miaka 35. Na hii inaleta mantiki ya kwamba alipokuwa anashiriki Miss Tanzania 2006 alikuwa na...
  10. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume tukiingia kwenye mahusiano na wanawake wanaotuzidi umri tunazama sana kimapenzi?

    Habari zenu wana JF. Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana. Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo mmoja aliyenizidi sana umri, wakati huo nilikuwa nina miaka 22, yeye alikuwa ana miaka 38, Aisee...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zoleka Mandela, Mjukuu wa Nelson Mandela afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 43

    Zoleka Mandela: Nelson Mandela's granddaughter dies in South Africa at 43 Zoleka Mandela, granddaughter of South Africa's first democratically elected President Nelson Mandela, has died of cancer at the age of 43. She passed away on Monday evening surrounded by friends and family, a...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtu mzima ambao haruhusiwi kuolewa au kuoa ni upi

    Mwenye kuifahamu sheria ya ndoa tafadhali! Kuna mama ana miaka 70 anataka kuolewa hii imekaaje?
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mahusiano hayachagui umri

    Ukiona mtu anapinga mahusiano, jiulize mara mbili mbili ana tatizo gani? Kwa sababu haya mambo yanaongozwa na hisia; hata wewe unapopata hisia na mtu fulani lazima umfungukie, huo ndio uhalisia wa binadamu halisi. Mambo ya kuzidiana umri tunaweka pembeni.
  15. El uno

    JamiiForums Tanzania Umri wa mimba

    Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito...
  16. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Endeleeni Kupuyanga mkidhani Umri unawangoja

    Sihitaji salamu yako,salamu yako peleka kwenu huko!. Kwa Taarifa yako 1990 - Umri Miaka 35 1991 - Umri Miaka 34 1992 - Umri Miaka 33 1993 - Umri Miaka 32 1994 - Umri Miaka 31 1995 - Umri miaka 30 1996 - Umri Miaka 29 1997 - Umri Miaka 28 1998 - Umri Miaka 27 1999 - Umri Miaka 26 2000 -...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Umri gani?

    Wanajamvi Salam. Leo nataka kujua zaid kuhusu mada fikirishi ya umri wa dunia. Kupitia hadithi mbalimbali za historia na vitabu vya dini, zinatuambia Kwamba Dunia ilianza takriban miaka million kadhaa huko nyuma. Pia watu walioishi miaka hiyo ya nyuma sana inasimuliwa na kuaminika kwamba walikua...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Umri wa Mtanzania kuishi umeongezeka kutoka Wastani wa miaka 44 hadi 65

    Akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Agosti 31, 2023, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa amesema mchakato wa Sensa uliopita umekuwa na mafanikio makubwa na haijawahi kutokea kuwa na ushirikiano wa juu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  20. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Laana ya Umri inavyoitafuna China

    Kwa sasa nchini China watu wenye umri wa miaka 35 wanakutana na laana ya kuwa na umri huo. Kwa sasa Wachina wengi wenye umri wa miaka 35 wanakumbana na tishio la kukosa ajira ama mikataba yao ya ajira kutokuongezwa kutokana na kuonekana kuwa wana umri mkubwa. Uchina ambayo kwa sasa ina...
Back
Top Bottom