Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
535
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka.

Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wanaume single broken ni 35+

Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.

Manake kashaumizwa sana hadi amekuwa sugu ahofii chochote.

Mwanaume Fika 26 yrs oa bint below 25 hata kama mtakuwa mnaishi kwa room MOJA muanzie hapo mkue pamoja.

Hakuna fahari kuwa na Miaka 50 ndo una mtoto class 7

Utawezaje kuoa katika umri sahihi. Usiweke over expectations kwamba utapata mdada flan hivi mwenye shape, mrembo, mzuri ,n.k

Ukiset sana standards za mwenza wako utaishi kwa matumaini huku umri unaenda kwa sababu kila atakaekuja utamkataa utahisi KESHO IPO atakuja Bora kuliko WA Leo manake brain inakufariji.

Pia ujue reality kwa ground ya ndoa baada ya miaka flani Sio POA

Kuna kuchokana haijalish wote ni good looking man /woman au whatever

Oa /olewa jua vitu kwa ground ya ndoa sio rahisi Wala hutokuja kupata MTU perfect utasubiri had kristo arudi kama unataka MTU perfect
 
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndo inaongezeka.

Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wAnaume single broken ni 35+

Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuelewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.

Manake kashaumizwa sana hadi amekua sugu ahofii chochote.

Mwanaume Fika 26 yrs oa bint below 25 hatakama mtakua mnaishi kwa room MOJA muanzie hapo mkue pamoja.

Hakuna fahari kua na Miaka 50 ndo una mtoto class 7

Utwezaje kuoa katika umri sahihi. Usiweke over expectations kwamba utapata mdada flan iv mwenye shape ,mrembo , mzuri ,n.k
Ukiset sana standards za mwenza wako utaishi kwa matumain Huku umri unaenda kwa sababu kila atakaekuja utamkataa utahisi KESHO IPO atakuja Bora kuliko WA Leo manake brain inakufariji .

Pia ujue reality kwa ground ya ndoa baada ya miaka flan Sio POA

Kibongo miaka 25 uoe labda uwe umekulia familia ya kishua au kijijini ila town umri huo mtu ndo kwanza anamaliza chuo na kama hana connection kuna miaka sio chini ya miwili ya kusota kutafuta kazi.
 
Kila mtu aisha maisha yake...kuoa au kuolewa sio kila kitu katika maisha...

Nasio watu wote wanoa au kuolewa.
 
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndo inaongezeka.

Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wAnaume single broken ni 35+

Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuelewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.

Manake kashaumizwa sana hadi amekua sugu ahofii chochote.

Mwanaume Fika 26 yrs oa bint below 25 hatakama mtakua mnaishi kwa room MOJA muanzie hapo mkue pamoja.

Hakuna fahari kua na Miaka 50 ndo una mtoto class 7

Utwezaje kuoa katika umri sahihi. Usiweke over expectations kwamba utapata mdada flan iv mwenye shape ,mrembo , mzuri ,n.k
Ukiset sana standards za mwenza wako utaishi kwa matumain Huku umri unaenda kwa sababu kila atakaekuja utamkataa utahisi KESHO IPO atakuja Bora kuliko WA Leo manake brain inakufariji .

Pia ujue reality kwa ground ya ndoa baada ya miaka flan Sio POA
Kuna kuchokana haijalish wote ni good looking man /woman au whatever

Oa /olewa jua vitu kwa ground ya ndoa sio rahisi Wala hutokuja kupata MTU perfect utasubiri had kristo arudi kama unataka MTU perfect
Tafuta hela! Maisha ni mazuri kwa umri woote kama maokoto yapo! Kwa umri wangu kila nikienda club vi_slay Queens shobo kama loote! Naweza kukunyanganya hata demu wako!
 
Kibongo miaka 25 uoe labda uwe umekulia familia ya kishua au kijijini ila town umri huo mtu ndo kwanza anamaliza chuo na kama hana connection kuna miaka sio chini ya miwili ya kusota kutafuta kazi.
Na akikosa kazi anamiaka sio chini ya mitano ya kujitafuta kivingine
 
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndo inaongezeka.

Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wAnaume single broken ni 35+

Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuelewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.

Manake kashaumizwa sana hadi amekua sugu ahofii chochote.

Mwanaume Fika 26 yrs oa bint below 25 hatakama mtakua mnaishi kwa room MOJA muanzie hapo mkue pamoja.

Hakuna fahari kua na Miaka 50 ndo una mtoto class 7

Utwezaje kuoa katika umri sahihi. Usiweke over expectations kwamba utapata mdada flan iv mwenye shape ,mrembo , mzuri ,n.k
Ukiset sana standards za mwenza wako utaishi kwa matumain Huku umri unaenda kwa sababu kila atakaekuja utamkataa utahisi KESHO IPO atakuja Bora kuliko WA Leo manake brain inakufariji .

Pia ujue reality kwa ground ya ndoa baada ya miaka flan Sio POA
Kuna kuchokana haijalish wote ni good looking man /woman au whatever

Oa /olewa jua vitu kwa ground ya ndoa sio rahisi Wala hutokuja kupata MTU perfect utasubiri had kristo arudi kama unataka MTU perfect

Sikubaliani na wewe vijana msiwahi kuoa mpaka umpate mtu ambaye sio mke tu ni rafiki. Jipange na uhakikishe unajielewa wakati wa kuoa. Tatizo la sasa watu wanaoana halafu miaka 3 tu wanajuta na kushinda kwenye mabaa na mabaa medi kwasababu hawajaweka urafiki na wenza. Siku hizi familia ni ndogo msikimbilie tu kuiga mtajuta.
 
Vijana oeni mapema
Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndo inaongezeka.

Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs
Umri WA wAnaume single broken ni 35+

Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuelewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba.

Manake kashaumizwa sana hadi amekua sugu ahofii chochote.

Mwanaume Fika 26 yrs oa bint below 25 hatakama mtakua mnaishi kwa room MOJA muanzie hapo mkue pamoja.

Hakuna fahari kua na Miaka 50 ndo una mtoto class 7

Utwezaje kuoa katika umri sahihi. Usiweke over expectations kwamba utapata mdada flan iv mwenye shape ,mrembo , mzuri ,n.k
Ukiset sana standards za mwenza wako utaishi kwa matumain Huku umri unaenda kwa sababu kila atakaekuja utamkataa utahisi KESHO IPO atakuja Bora kuliko WA Leo manake brain inakufariji .

Pia ujue reality kwa ground ya ndoa baada ya miaka flan Sio POA
Kuna kuchokana haijalish wote ni good looking man /woman au whatever

Oa /olewa jua vitu kwa ground ya ndoa sio rahisi Wala hutokuja kupata MTU perfect utasubiri had kristo arudi kama unataka MTU perfect
Endelea kujidanganya tu mkuu siku yakikukuta ndio utajua kua umeandika nadharia tu.
 
Back
Top Bottom