LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa.
Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko.
Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri wa miaka 14 kwa idhini ya wazazi wake ama miaka 15 kwa idhini yake mwenyewe endapo ndoa hiyo itafungwa kwa kufuata utaratibu wa dini ya kiislamu..
Huko Angola umri wa kufanya mapenzi kisheria ni miaka 12. Umri wa ndoa ni miaka 15 kwa msichana na miaka 16 kwa mvulana.
So hakuna cha ajabu hapo kwa Sadio Mane.