Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita.

Shida ni kuwa yuko so hype na sex, mimi kwa sasa hata interest imepotea natamani nipate kimoja nilale, zile vurugu mimi kwasasa siziwezi naona kuchoka tu.

Nisipojikaza nahisi nitasaidiwa ila kwakweli energy ya haya mambo sina kabisa kwa sasa, bora ningepata mtu mzima mwenzangu tukaenda aste aste tu.
 
Ndoa yetu imeunganishwa na wazazi, mwenza wangu hakuwahi kujihusisha na mapenzi, nimempita miaka 10, na tumefunga ndoa baada ya kumaliza kidato cha sita...
Swala la umri sio ishu sana, ishu kubwa ilikuwa ni kujuana kabla ya kuoana

Kuna wanawake wanapenda sana sex, kuna wanaume wanapenda sana sex

Kuna wanawake /wanaume wanapenda kimoja kimoja tu

Shida inakuja mwanaume mpenda sex akimuoa mwanamke asiyependa sana sex

Au mwanamke mpenda sex akiolewa na mwanaume asiyependa sex.

Hapo lazima mmoja amtese mwenzake
 
Maneno ya uku mkuu yasikukatishe tamaa.

Kama Mwanamke ulimuoa maana yake mlikula kiapo mbele ya Ndugu zenu na hata M/Mungu analijuwa hilo ndio amewabariki kuishi kwenye ndoa takribani miaka kumi bila tatizo.

Punguza your own expectation kwamba Mkeo ata chepuka kisa umeshindwa purukshani za kitandani.

Mkeo ni mtu mzima anajitambua Kuwa yeye tayari ni mke wa mtu hivo hana budi kujiheshimu na Kuwa muaminifu kwenye ndoa yake.
 
Yaani miaka 32 unalalamika nguvu?
Hakuna namna mkuu lazima utombewe!
Tena umesema demu wako umemzidi miaka 10, maana yake ana miaka 22.
Hapo kutombewa ni "sure bet"
Maana miaka 22 nyege na utoto viko mahala pake.
Hapo kutombewa ni SURE BET 100%
Hakunaga SURE BET 100% Mkuu.

Kama ambavyo hata aliyepewa odd ya 1.01 anaweza kupigwa, huyo binti naye anaweza kujikaza.

Inawezekana hiyo hype anaipata kwa mumewe tu. Kwingine hana hamu.

Ila 32 ni mapema sana kutundika daruga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom