Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

stephenga

Member
Sep 15, 2022
38
146
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.

Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.

Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa.
Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM.
Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Ushauri ninaoweza kukupa ni kupiga goti kwa Mungu wako kwa imani yako......ndoa ni paradiso ukimshirikisha Mungu toka mwanzo, hakikisha unajibiwa kwanza na Mungu. Kama wewe ni mkristo funga hata mwezi mmoja tu majibu utapata
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa.
Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM.
Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Mtu sahihi anakuja, hatafutwi. Kama maka leo huna mtu aliyekupenda ulikowahi kufanya kazi, matani akwenu, kanisani basi utakuwa nashinda.Unahitaji kujitafuta zaidi kuliko kutafuta ndoa.
 
Kila la kheri Bro.

NB: Ambao hamjaoa/olewa na mna nia ya kuwa na familia ndani ya ndoa, ukipata hiyo nafasi oa/olewa ingali mapema....

Hivi mnajua ile furaha ya kuliliwa na kid(s) ukiwa unataka kutoka kwenda kuhemea....!!!
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa.
Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM.
Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Mkuu una masters? 40 years ujaoa sababu ya kipato kidogo?

Njoo kariakoo nikuonyeshe Dogo ana miaka17 ana Mke na mtoto mmoja anavyopambana kwenye kimeza chake.

Toa sababu nyingine Kwanini hujaoa mpaka miaka40 na sio suala la kipato.
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa.
Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM.
Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Nakutakia kila la kheri katika jambo hilo la baraka. Mungu akutangulie uweze kupata mtu sahihi
 
Back
Top Bottom