umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji mjadala wa kitaifa kuhusu umri sahihi wa mtu kuitwa kijana

    Binafsi mimi ni kijana mdogo wa miaka 38 na mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi. Huu uzi umeandikwa na kijana. Pamoja na kujitambulisha ila kama kichwa cha habari kinavyosomeka imefika sehemu kama taifa tunahitaji mjadala kuhusu upi ni umri sahihi wa mtu kuendelea kuitwa kijana tofauti na hali...
  2. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  3. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Masimango na kejeli kwa wanaoonekana wamechelewa kuoa/ kuolewa na kupata watoto uzeeni au umri ukiwa umekwenda

    Habari za muda huu marafiki, Siku za hivi karibuni kumekuwa na hali ya kushangaza kustaajabisha kwenye jamii yetu na hasa huku mitandaoni. Kumekuwa na wimbi la watu kuwasimanga, kuwakejeli na hata kuwacheka ndugu zetu, jamaa zetu na marafiki zetu wanaoonekana kwa vigezo, mitazamo na viwango...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi watoto wa miaka ya 2000 kuja juu wanaonekana kuzeeka na kuchoka mapema tofauti na umri wao?

    Ukiangalia trend ilivyo kwa sasa hivi utashangaa kuona watoto wadogo tu ila wana maumbo makubwa sana tofauti na uhalisia wa umri wao. Wanakua kwa kasi ya ajabu kama wanalishwa booster!!. Wengi wao wanaonekana kuzeeka haraka na bila mpangilio tofauti na wale waliozaliwa miaka ya 1996 kurudi...
  5. Shobi

    JamiiForums Tanzania Vitu unavyopaswa kujua baada ya kuwa na umri wa miaka 35

    1. Kudhibiti ulimi. Siyo kila hali unaongea kuna wakati unapaswa kukaa kimya 2. Jifunze kutulia ni bora kuliko kufanya drama / kuishi maisha ya mtandaoni. 3.Kubali kuna vitu haujui na umezidiwa epuka wivu Jifunze Kwa waliokuzidi. 4.familia unayotengeneza ni Jambo muhimu haijalishi ulitoka...
  6. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tumetolewa; hatukatai. Umri wa wachezaji wetu uko sahihi?

    Ni katika kujaribu kuwaza na kufikiria nje ya box na mawazo yangu binafsi. Mm siyo mtu wa mambo ya mpira sana lakini kwa hii AFCON nilikuwa nipo macho kuifuatilia timu yangu ya Taifa kwa kila hatua. Kitu nilichokigundua kwa macho na akili na umakini niliokuwa nao kwa namna wachezaji wetu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  9. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Mada zilizopo JamiiForums zinaonesha kama taifa vitu tunavyopenda au ni umri tu?

    Wakuu habari za Jumatatu? Leo nimeamka zangu asubuhi nikiwa nasema kama na TT wa kwenye treni wakinizingua kama wiki ile iliyopita Ati kwamba chenji hakuna niende nikalipie getini nitampa njia sahihi ya kufanya kazi yake. Hii kitu inaniudhi sana sijui ndio kweli sarafu hazipo kwenye mzunguko...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  11. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Kadri umri unavyoenda uwezekano wa kupata MKE/Mume sahihi unapungua

    Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya ukachelewa kuoa au kuolewa utakutana n'a mwenza aliyekata kamba. Manake kashaumizwa sana hadi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nyumbani kwenu kuna kitu kilichokuzidi umri au kimeendana umri na wewe!?

    Habari za mwaka mpya 2024 wapendwa katika Bwana, natumaini wooooote wazima, mwenye changamoto yoyote basi MWENYEZI MUNGU ASAIDIE Unajua katika majumba yetu tulikozaliwa kuna vitu utavikuta iwe tv, nguo, kabati, meza chochote kile cha zamani kimetunzwa kweli, na bado kinatumika, ukiulizia hiko...
  13. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa na umri gani ulipotengeneza milioni yako ya kwanza?

    • Habari wana JamiiForums na wafanyabiashara wenzangu, nataka nitengeneze milioni yangu ya kwanza mapema mwaka huu. Hata hivyo, Maana nimekuwa kila nikitafuta hela nashindwa kufikisha million , nataka kujua ni umri gani nyie mlitengeneza milioni ya kwanza na jinsi mlivyofanya au uwekezaji...
  14. stephenga

    JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa. Haswa ukizingatia...
  15. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Maskini anaanzia umri gani?

    Naomba kuuliza umaskini unaanzia umri gani? Yani mtu ukifikisha umri gani na akawa bado hajiwezi katika mahitaji yake muhimu anaqualify kuitwa maskini. Ikiwa na maana gani mtoto wa miaka 9 anaeishi kwao hatuwezi kumuita maskini ila kwakua Mpwayungu Village mwenye miaka 46 anaeshi kwa shemeji...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Uhuru wetu kama ni umri wa mwanadamu unakwenda kuumaliza mwendo

    Amani iwe nanyi, Tumeshatimiza miaka 62 toka tupate uhuru wa nchi yetu pendwa ya Tanganyika na baada ya kuungana na ndugu zetu wa Zanzibar tukajiita Tanzania. Katika safari yetu ndefu hii kama angekuwa mwanadamu basi tunasema anakwenda kuumaliza mwendo, lakini tunashukuru nchi yetu bado...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unapata hisia gani ukifikiria kuhusu Umri wako?

    Unazeeka au nikuache kwanza? 🙆‍♂️. 1983 - 40 1984 - 39 1985 - 38 1986 - 37 1987 - 36 1988 - 35 1989 - 34 1990 - 33 1991 - 32 1992 - 31 1993 - 30 1994 - 29 1995 - 28 1996 - 27 1997 - 26 1998 - 25 1999 - 24 2000 - 23 2001 - 21 2002 - 20 2003 - 19
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Binti akifikisha umri upi, sisi kama wazazi na jamii kwa ujumla tunapaswa kumwekea mipaka?

    Ambao mna uzoefu na watoto wa kike tunaomba mtupatie mwongozo. Ninashuhudia familia nyingi sana huku majengo mapya ushuwani, ukaribu uliopo kati ya baba na mtoto wa kike unakuwa wa kushtusha kidogo, yaani ni kawaida sana kumkuta baba akimpakata bintiye wa 10 years old tena bila wasiwasi kabisaa...
  19. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayachagui umri

    Klipu ya Televisheni miaka 31 iliyopita , mvulana huyu ni Macron, Rais wa sasa wa Ufaransa 🇫🇷, na dancer na Mwalimu wake, ndiye mke wake wa sasa.Wamepishana miaka 24.
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
Back
Top Bottom