umri

Jalaluddin Umri (Born 1935) is a writer and a religious scholar. He was the Amir of Jamaat-e-Islami Hind from 2007-2019. Now Syed Sadatullah Husaini is elected as the Amir for the term of 2019 – 2023.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 36 ndoa imekuwa ngumu

    Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Gari yako ya kwanza ulinunua ukiwa na umri gani?

    Najua humu sio kila mtu anagombania Daladala/Mwendokasi, niambie usafiri wako wa kwanza ulinunua ukiwa na umri wa miaka mingapi..? Mimi 25 niliagiza Mkoko toka Japan. Funguka Mkuu..!
  3. Desierto

    JamiiForums Tanzania Marafiki zangu 90% wamenizidi umri

    Habari za humu, Mimi tokea nikiwa Mdogo nimejikuta tu nikiwa na marafiki walionizidi umri, ninaposema rafiki namaanisha marafiki wa kweli na ni wajinsia zote. Nakumbuka Kuna kipindi mm nikiwa Bado sijaoa nililetewa kesi ya ndoa mume akiniambia matatizo na mke akiniambia matatizo ya mume...
  4. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Unajiandaaje na magonjwa yanayotokea kwa sababu ya umri kuwa mkubwa?

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na janga kubwa sana la magonjwa yasiyoambukiza, hasa inawapata watu ambao umri unaenda. Watu wanahangaika na kisukari, shinikizo la damu, kansa, figo, ini na magonjwa mengine yanayotokea na ulaji mbovu au life style mbovu ya maisha yetu. Nina rafiki yangu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Stephen Masato Wassira wewe na watu wa umri wako msipostaafu unadhani vijana watapata wapi ajira?

    Mzee Wasira anashangazwa na taarifa za mainjinia kukosa ajira. Wakati huo yeye mwenyewe anawahi kujiajiri bali anaishi kwa kuajiriwa toka miaka ya 1970. Ukimuuliza kwanini amegonga kustaafu na kukaa pembeni anadai bado ana nguvu na anakubalika na watawala. Ukihoji kwa maisha yake yote ni kipi...
  6. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo; 1. Tembea hatua 10,000 kwa siku 2. Kula kwa wastani 3. Punguza wanga 4. Epuka vitu vyenye sukari 5. Epuka sigara, pombe 7. Pata muda kidogo wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Umri miaka 91, Paul Biya Mitano mingine: tuendelee kujifunza

    Ama kweli madaraka ni matamu, siyo bure. Kila akaliaye kiti kutoka hataki: Zitaibuliwa sababu za kila rangi: hayupo mwingine hadi kuwa hatoki kwa sababu kuna wanaotaka atoke. Kumbe kwanini Museveni, Kagame, Putin, Xi, Kim au wale wengine wangali wamekomaa? Kwamba kama ndoa, hadi kifo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimerudi shule japo umri umenitupa mkono

    ok
  9. Kinyozi_tz

    JamiiForums Tanzania Umri katika mahusiano

    Habarini wadau nisi wachoshe ngoja niende moja kwa moja katika mada .Katika jamii mwanaume kumzidi umri mwamamke imekuwa jambo lakawaida sana katika suala zima la mapenzi na mahusiano. Lakini linapo kuja swala mwanamke kuwa na umri mkubwa inakuwa nongwa mara anatoka na lishangazi nk ni baadhi...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mstaafu mwenye umri wa miaka 53 amejiua kwa kujichoma moto baada ya mahakama kuamuru kuuza mali zote na kugawana na mkewe mara baada ya kupeana talaka

    Lusaka, ZAMBIA Mnamo saa 09:10asbh Machi 5, 2024, Kituo cha Polisi cha Muwanjuni kilipokea ripoti ya kusikitisha ya tukio la kujiua kutoka kwa Bw. Emmanuel Mutale, mwenye umri wa miaka 42, mkazi wa kijiji cha Selengwe katika eneo la Maili Kumi. Bw. Mutale aliripoti kuwa rafiki yake, Bw. Charles...
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ulijitafuta ukajipata kwenye maisha ukiwa na umri gani?

    Ndugu zangu safari ya maisha ni ndefu sana kila mmoja ana safari yake, wapo waliotusua kwa mateso makali sana. Wapo waliotusua kiurahisi hawa huenda walikuta tayari njia imeshatengenezwa hivyo kufanikiwa haikuwa kazi kubwa sana. Lengo la kuleta uzi huu ni kuwatia moyo wale ambao wanajiona muda...
  12. 12345609

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana na kijana anaangalia katuni? Kuna umri unaopaswa kuacha kuangalia?

    Kuna umri maalum wa kuangalia katuni? Kwanini watu wengi wanakosoa wakikutana kijana akiangalia katuni?
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani mtu akifikisha bila ya kumiliki nyumbani aachane tu na mpango wa kumiliki nyumba

    Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga. Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
  14. SPECIAL TMN

    JamiiForums Tanzania Je, umri ulionao una tafsiri gani na maisha uliyonayo?

    Wakuu habari za leo: Naenda kwenye maada kamili hivi kuna umri ukifikia hata kama hauna kiwanja ndo basi tena? Au kila mtu na bahati yake tu kulingana na umri uliofikia?. Na je, kuna ukweli wowote ule kuhusu kuandikiwa wewe hautapata vitu vikubwa maishani mwako?. Nawasilisha.
  15. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Tanzania Ndoa siyo umri, ndoa ni ukomavu wa akili unatokana na malezi

    Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji. Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ladies, tofauti na kuulizwa umri ni maswali gani mengine hampendi kuulizwa?

  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

    Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua akiwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari bingwa "Anaendelea kupatiwa matibabu na baadhi ya wakati anakuwa na uangalizi wa karibu sana wa madaktari...
  18. OLS

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kuwa na ukomo wa umri wa mtu kuwa Rais Tanzania

    Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki madarakani. Hii sio shida lakini ni muhimu ukomo wa umri uwepo ili kutokuwa na marais wazee ambao...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

    Salaam Wakuu, Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?
  20. C

    JamiiForums Tanzania Msaada hospitali inayofanyia mazoezi kwa mashine watoto umri chini ya miaka mitatu waliochelewa kusimama na kutembea

    Wakuu habari, naombeni msaada kwa hospital inayofanya mazoezi kwa kutumia mashine kwa watoto umri chini ya miaka mitatu. Naomba pia kujuzwa gharama maana mwangu ana bima NHIF. MBARIKIWE.
Back
Top Bottom