Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana.

Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa, nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga.

Wewe je? Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?
 
Leo tupige story kidogo, siyo muda wote kuwa serious sana.

Mimi nilioa nikiwa na umri wa miaka 27 nikajaaliwa kupata mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 28, hiyo ilikuwa 2011, hadi leo nipo kwenye ndoa,Nina watoto wanne Mwenyezi Mungu anasaidia tunaishi kwa amani life linasonga.

Wewe je? Ulioa/kuolewa ukiwa na umri gani?
Hongera mkuu, nilioa na umri huo huo miakaa kadhaa mchepuko ukafanya yake hadi asaiv nna mtoto mmoja
 
Nimeoa nikiwa na miaka 33, nilizaa mtoto mmoja nje, mke wangu wa ndoa mimba mbili za miezi 6 zimeharibika nishampa nyingine, nasubir mwezi wa sita ikifika itakuaje!!!!!
Ma-group ya damu yenu hayaoani! Nendeni mkapime damu. Mke anapopokea mimba antibodies zina-react kwamba kuna mdudu kaingia mwilini ndiyo maana mimba zinadondoka! Pole mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom