Kuanzishwa kwa umoja wa wabunge wa CCM wa chini ya umri wa miaka 45, Ni ishara mbaya kwa waliouringia ujana 2015

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,479
Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee?

Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha. Malipo ni hapapa duniani.

Mtanielewa miaka michache ijayo
 
Wewe na wao, wote hamjielewi
 
Hao vijana hawakijui chama, watafyekelewa mbani na chama kitanawiri vilevile. Hawa wazee sio wa kudharau wamesoma sayansi ya siosa na diplomasia
 
Hao wabunge vijana waliounga mkono kuuza Bandari wana faida gani.
 
Back
Top Bottom