ulinzi

  1. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Wizara ya Ulinzi yatetea uamuzi wa Wanajeshi wa Kike kuvaa viatu vya mchuchumio

    Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo. Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

    Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
  3. ErlangB

    JamiiForums Tanzania Tushare experience, Ulinzi na Usalama

    Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania. NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili...
  4. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

    Habari 👋🏾 Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies? Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili. Asante.
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Ujambazi: Waziri Mkuu asema ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kwenye ulinzi

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga amesema siku za hivi karibuni kumekuwa na changamoto ya wimbi la ujambazi hususan Mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha. Akiwa Bungeni, amesema matukio hayo yamekuwa yakihatarisha usalama wa Wafanyabiashara, wananchi kwa ujumla pamoja na mali...
  6. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  7. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia

    Rais wa Kenya Mhesh Uhuru Kenyatta leo Mei 26, 2021 katika Ikulu ya Nairobi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saud Arabia Mwana Mfalme Faisal Bin Farhan AlSaud Viongozi hao walijadili na kukubaliana kuongeza ushirikiano wa nchi zao kwenye maeneo ya Ulinzi na...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu kumuogezea kiongozi mkuu ulinzi wa uhakika zaidi kwakuwa adui kadhamiria kutenda maovu

    Mchakato wa kumpata mkuu wa nchi ni mchakato wenye gharama kubwa. Na anapopatikana mmoja basi jukumu kubwa la kwanza ni afya yake na ulinzi wake! Kama vile hakuna binadamu anayekosa rafiki, vilevile hakuna binadamu anayekosa adui na rais wa nchi si malaika wala kizuka.. Rais ni binadamu hivyo...
  9. DULAIKI COMPANY

    JamiiForums Tanzania Jipatie kombati ya kijeshi ya ngozi

    Kombati za kijeshi leather pure zinapatikana kwa Bei ya rejareja na jumla. Rejareja 65000 Jumla 4000 kuanzia pair 10. Kwa Dodoma mjini tunakuletea bure na Nje ya Dodoma mjini na mikoani tunatuma kwa gharama za mteja kwa uaminifu mkubwa. Kununua tupigie 0762967368/0655325457 au fika ofisi ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma alizonazo Ole Sabaya, anaweza akakimbia nchi, awekwe chini ya ulinzi

    Kuna tuhuma ambazo zinamkabili Sabaya, ni nyingi na za ukatili kubwa, uvujifu wa haki za watu Hai, mateso mauaji , utekaji etc etc uliokithiri. Katika hali ya kawaida, kwa level ya tuhuma hizo, za mauaji ya wazi, utekaji etc inatoa uhalali wa kumweka kizuizini asitoroke ili haki itendeke...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

    Habari kamili hii hapa ====== Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na...
  12. mngony

    JamiiForums Tanzania Kuletewa Balozi mtaalamu wa Ulinzi wa Masuala ya Mitandao ni 'Diplomatic Gesture' ?

    Kwa wale mliofatilia tukio la kukabidhi hati Ikulu Magogoni kwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania, mtakuwa mlisikia kuwa Balozi mpya wa Italy nchini ni mbobezi wa masuala ya 'Cyber Security' Je hii ni diplomatic gesture? Kwamba viongozi wetu wakubwa wameonekana kulalamika dharani...
  13. mngony

    JamiiForums Tanzania Moja ya picha adimu sana ya wakuu wetu wa Ulinzi na Usalama

    Baada ya huzuni ya mwezi mmoja, sasa wanaendelea na majukumu yao kwani Taifa la watu mil 60 liko chini ya uangalizi wao, Ukubwa ni dawa. Sijui nini kilichowafanya wazee hawa angalau wakacheka.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Polepole azungumza na waandishi wa habari akiwa na ulinzi wa wasaidizi wake wote wanawake

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake. Taarifa kamili inakuja.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Niko TAYARI kuairisha masomo yangu ya Elimu ya juu nikipata mchongo wa ajira wizara la ulinzi iwe polisi, migration, JWTZ

    Kama kichwaa Cha habari kinavo jieleza hapo juu Mimi napenda sana mawala ya ulinzi lakini nilivo jiunga kwa mujibu wa sheria mwaka2019 sikubahatika kupata nafasi ya kuendelea na mswala ya kijeshi na baadae kujiunga chuo kikuu Fulani hapa bongo lakini Bado napenda sana maswala ya ulinzi mwenye...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Zamani Wa Ulinzi Wa Burundi Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye Amefariki Leo Akitumikia Kifungo Cha Maisha Jela

    Meja Jenerali Cyrille Ndayirukiye alihukumiwa kifungo cha maisha jela Januari 2016 kwa kuhusika jaribio la kuipindua Serikali ya Mwendazake Piere Nkurunziza. Jaribio hilo lililoshindwa lilifanyika Mei 16,2015 wakati Mwendazake Piere Nkrunziza akihudhuria Kikao cha Wakuu wa Jumuiya ya Afrika...
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama anakiri hadharani ‘Maadui kupitia mitandao hawakamatiki’

    Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila uzandiki wao unaonekana kupitia mitandao lakini hawakamatiki hilo ni tatizo kubwa. Kwamba wapo...
  18. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Anayejua faida ya ulinzi shirikishi (sungusungu)

    Kwanza natangulia kusema nitashukuru kwa watakaonielimisha. Faida hasa ya sungu sungu ni nini? Kazi ya polisi ni nini ili itofautiane na hii ya sungu sungu? Kuna umuhimu wa kuwa na sungu sungu katika mtaa wako? Najua kuna watakaosema wanapunguza wizi japo si kwa asilimia 100,je kama ipo na...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Umoja wa Afrika kuhusu ulinzi wa Data binafsi za watu

    Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa ajili ya kuimarisha #Haki za msingi za binadamu, uhuru wa raia ikiwemo ulinzi wa taarifa zao na kutoa...
  20. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Kuingiliwa kwa Sera na uendeshaji wa vyombo vya Ulinzi na Usalama, wabunge jadilini hili

    Siyo siri, katika Awamu ya Tano iliyopita Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama viliingiliwa kiutendaji kiwazi wazi. Hii inaweza leta athari kubwa sana lisipokabiliwa mapema. Tunaona sasa hivi kwa mfano hao vijana wa JKT walioahidiwa ajira utafikiri wanaajiriwa kiwandani. Kucheza na hivi vyombo...
Back
Top Bottom