ulinzi

  1. Mangungu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au sehemu yoyote hapa Nyumbani Tanzania! Wale wana usalama ni wenye miili mikubwa,warefu na wamekula...
  2. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinum Apewe Ulinzi Mzito Popote Alipo.

    Vyombo vinavyohusika na ulinzi wa raia na mali zake chukueni jukumu ilo.
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tax shirikiana na Waziri Simbachawene kukagua Uhamiaji; punguzeni kamatakamata za Waethiopia mikoani

    Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
  4. darcity

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sheria inataka Waziri wa Ulinzi ateuliwe baada ya muda gani, au hata asipokuwepo sawa tu?

    Je, Kuna sheria inayomtaka Rais kuteua Waziri wa Ulinzi baada ya muda fulani pale anapotenguliwa, kuacha uwaziri au kufariki? Kama hakuna sheria je Kuna ulazima wa kuwa na Waziri wa Ulinzi? Na je Nini kilimsukuma JPM kuteua Waziri wa sheria Mara tu Mzee Maiga alipofariki?
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi

    Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke. Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili. Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Meja Elia Muarabu Muislamu Mwenye Cheo Cha Juu Kwenye Jeshi La Ulinzi la Israel

    Meja Elia Ndiye Muarabu Muislamu aliye na Cheo Juu Ndani ya Jeshi la Ulinzi la Israel ( IDF)
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Temeke: DC Jokate Mwegelo aagiza kuwekwa chini ya ulinzi, Viongozi wa Chuo cha Lubondo Training College

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. JOKATE MWEGELO Aagiza Kuwekwa Chini ya Ulinzi Mkali Viongozi wa Chuo cha LUBANDO TRAINING COLLEGE Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ameagiza kuwekwa chini ya ulinzi kwa Viongozi wa Chuo cha Lubando Training College kilichopo Mtaa wa Butiama, Kata ya Mtoni...
  10. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ulinzi kwa viongozi wenu una dosari kubwa

    Nimekuwa najiuliza kama CHADEMA ndio chama kikuu cha upinzani Tanzania ni dhahiri pia ndio chama kinachochukiwa zaidi na chama tawala kwa siasa za Afrika. - Hebu jiulize siku Mh.Tundu Lissu alipopigwa risasi 32 Dodoma inaonyesha Mh. Tundu Lissu hakuwa na ulinzi wowote wa chama chake na kama...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama atatoa Siri za nchi kwa maadui, Sabaya katufungua macho

    Mkuu wa Wilaya Ni mwenyekiti wa ulinzi na Usalama, unapokuwa na DC anayeweza kumchafua au kutoa Siri za Rais na viongozi wa juu kwa public kisa tu amebanwa kwa makosa aliyoyatenda ipo siku au yawezekana hata Sasa baadhi ya Taarifa za nchi hazipo salama. Most of DC na RC wamepewa hiyo kazi kwa...
  12. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

    Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu. Huwezi ukawa na Wahuni...
  14. Ileje

    JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  15. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi

    Other name? Siyo ‘Middle name’? Sex? Marital Status? Tribe? Sina hakika kama yeye mwenye hii resume/ CV ndo aliyeiandika. Mwandishi awe yeye au si yeye, ni nani aliyewafundisha watu jinsi ya kuandika resumé . Taarifa za hali yako ya ndoa na kabila lako zinahusu nini hadi uziweke kwenye...
  16. B

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anapopingana na Dhana ya Ulinzi Shirikishi

    Kamanda Sirro amekuwa akijinasibu kuhamasisha watu na ulinzi shirikishi. Sirro amekuwa akihimiza kuwa: "ushirikishwaji watu katika maeneo yao ndiyo njia pekee ya kuumaliza kabisa uhalifu katika maeneo husika." Kamanda Sirro amekuwa akieleza zaidi kuwa, wahalifu wote wanajulikana katika jamii...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WeChat wasitisha usajili wa watumiaji wapya ili kuongeza ulinzi wa taarifa

    Kampuni ya Tencent ambayo ni wamiliki wa app ya WeChat ambayo inatumiwa zaidi na wachina, wamesitisha usajili wa watumiaji wapya wa mtandao huo. Wamefikia hatua hiyo ili waweze kuboresha mifumo yao ya ulinzi ambao utakamilika mwezi Agosti. Taarifa ya Tencent imesema kuwa maboresho yanafanyika...
  18. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia alikuwa haaminiki au ndiyo mfumo wa ulinzi na usalama ulivyo?

    Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua! Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama iliyompa silaha muuaji wa Lemax Bar iwajibike

    Moja kati ya sherehe zake akiwa hai Wengi wetu tumeona video na picha zilizosambaa za tukio la Mtu kupigwa risasi akiwa Baa Sinza kwa Remi Dar es salaam usiku wa July 17 2021. Kwa mujibu wa shuhuda ambae pia ni Rafiki, Kijana aliyepigwa risasi na kufariki anaitwa Gift na alikua amekaa jirani...
  20. Tango73

    JamiiForums Tanzania Shule zote, Vyuo vikuu na Nyumba za Ibada, zipewe Ulinzi wa kutosha

    Imefikia mahala lazima serikali ijihami ipasavyo kulinda raia zake baada ya magaidi wa Al shaabab kuweka kambi nchi ya jirani msumbiji. Uharibifu wa mali ya uma,, wingi wa vifo na kutimuliwa katika makazi yao raia wa msumbiji si kitu cha kusikiliza kama mechi ya soka bila kukifanyia kazi na...
Back
Top Bottom