ulinzi

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli: Nitapata tabu ya kumpata Waziri wa Ulinzi nikichaguliwa kuwa Rais

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja rekodi ya mahudhurio lakini kumefanyika tukio la kiapo cha uaminifu , ambapo umati wa wananchi hao...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima tu ukiwa Kikosi cha Ulinzi cha Marais (Viongozi) duniani uwe pia ni 'Baunsa' hasa kimuonekano?

    Kuna Walinzi wa Marais (Viongozi) fulani duniani kwa mfano wale wa Vladmir Putin wa Urusi, Paul Kagame wa Rwanda na hata Walinzi wa Papa Fransisco ambao 'nimedokezwa' na 'Wabobezi' wa haya 'Masuala' kuwa ndiyo wako 'imara' mno ila kinachonishangaza wana Miili ya 'Kawaida' sana na si ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Wakuu wote wa Mikoa wakabidhi mchango wa msikiti wa Chamwino

    Vyombo vya ulinzi na usalama vikiwakilishwa na mkuu wa Majeshi General Mabeyo na wakuu wa mikoa wakiwakilishwa na RC Ndikilo wa Pwani wamekabidhi mchango wao wa ujenzi wa msikiti kwa shehe wa wilaya ya Chamwino shehe Matitu. Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wamechangia jumla ya sh 30...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

    Soma pia>>> Do African political activists actually fight for democratic change or they simply keep alive a well-known old saying that "It's Our Turn to Eat"? Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Silaha muhimu kwa ajili ya ulinzi au uangamivu wa mwanadamu

    Uzoefu unanifundisha kuwa maumivu mengi tunayokutana nayo hapa Duniani yanatokana na sisi wenyewe kushindwa kuwajibika katika maisha yetu " living active life". Leo tumefikia hatua ya kushindwa kabisa kujitofautisha na matatizo na kufikiri sisi wenyewe ndiyo matatizo jambo ambalo siyo sahihi...
  7. Requal

    JamiiForums Tanzania Kipi ni bora, kuajiri Kampuni ya Ulinzi au kuajiri mlinzi binafsi?

    Wakuu habari zenu. Niko kwenye hatua za mwisho za kuanzisha mradi wangu ambao utahitaji huduma ya ulinzi wa walinzi wengi katika maeneo mbalimbali. Kwa wazoefu wa kuajiri walinzi binafsi lakini wenye mafunzo na weledi na hawa wa kupitia makampuni, wapi wanakuwa na huduma bora? Binafsi...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi waonya mikusanyiko ya kumpokea Lissu, na maandamano ya wanafunzi

    Jeshi la polisi limesema limeona baadhi ya viongozi wa CHADEMA wakihamasisha kukusanyika ili kumpokea mmoja wa kiongozi wanayetarajia kurejea nchini Julai 27, 2020. Polisi wamesema hawana taarifa rasmi ya mikusanyiko hiyo inayohamasishwa mitandaoni. Wamesema ni haki yao kukusanyika lakini...
  9. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Bado nahitaji majibu kuhusu Ulinzi Shirikishi, Wanasheria nawaomba tafadhali

    Kuna swala ambao hata mimi linaniumiza sana kichwa ki ukweli haya mambo ya ulinzi shirikishi hii nchi sijui yanatokea wpi yanaanzia wapi na yanaenda wapi, kuna hela zinachangishwa hizi hela anazila nani zinaenda wapi na kwanini tunachangishwa. Mimi kama kawaida yangu n mzee wa kurudi nyumbani...
  10. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ni nani atakuwa Waziri wa Ulinzi baada ya Mwinyi?

    Hussein Mwinyi ambaye ni Waziri wa Ulinzi anayetarajiwa kumaliza muda wake mapema leo amechaguliwa awe mgombea wa CCM huko Tanzania Visiwani,Zanzibar. Jambo la kheri na hongera kwake! Sasa basi,hoja hapa inabaki katika muktadha wa nani baada ya yeye atakuwa mbadala katika nafasi atakayoiacha...
  11. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Bernard Membe, vyombo vya usalama na ulinzi havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria?

    Katika mahojiano kati ya Mhe. B. C. Membe na Sammy Awami wa BBC Swahili, alisikika akijibu swali linalohusu vyombo vya usalama na ulinzi vya dola kuingilia masuala ya uchaguzi wa kisiasa; mfano, Urais, Wabunge na Madiwani na kuharibu usawa katika uwanja huo. Akiwa kama 'kachero mbobezi na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Elimu na IGP kuhusu kukatwa posho za ulinzi wa mitihani strong Room kuwalipa ma OCD

    Mhe. Waziri wa Elimu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, naomba ufafanuzi natumai mnasoma swali hili, ni kwamba inapofika wakati wa Mitihani ya Form 6 na Form 4 Askari huwa ni walinzi pale Strong Room yalipo Mitihani, na huwa wanapewa posho kwa ajili ya ulinzi huo, sasa imeanza kuwa desturi au...
  13. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yuko vizuri kwenye ulinzi wa mitaji ya umma, yaani public capital kuliko Rais yeyote aliyemtangulia

    Moja ya majukumu makubwa ya Rais ni kusimamia vizuri mapato na matumizi ya serikali. Lakini ana kazi ingine kubwa sana ya kusimamia mitaji ya umma ambayo pesa za serikali zimewekwa kwenye vitega uchumi mbalimbali kwenye mashirika ya umma na taasisi ii hiyo mitaji isife. Tunakumbuka kwa marais...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Mtia nia Ubunge jimbo la Chato Bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi

    Bi Hussina Amekamatwa na watu wanaosadikika kuwa ni Police, na yuko kituo cha Polisi Geita. NYUMBANI kwake kumejaa Polisi nje na ndani. Kosa la yeye kushikiliwa halijulikani. Zaidi soma: Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka...
  15. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Pantsir-SM | Mfumo mpya wa ulinzi wa anga kuzinduliwa nchini Urusi

    Habari! Pantsir-SM, mfumo wa ulinzi wa anga (short-medium range mobile air defense system) unaosubiriwa kwa hamu, unatarajiwa kuzinduliwa panapo Juni 24 katika gwaride la kijeshi jijini Moscow katika sikukuu maalumu inayofahamika kama Siku ya Ushindi ama Victory Day nchini Urusi. Mfumo huu wa...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Namba 5: Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

    Mbunge wa Kwahani na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa katika serikali ya awamu ya Tano Dkt. Hussein Mwinyi achukua fomu kwa lengo la kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za chama cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui mjini Unguja. WASIFU Dkt. Hussein Ali Mwinyi ni Waziri wa...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi...

    Kwenye utawala bora, Ulinzi na Usalama Serikali haijaonyesha fedha zilizokusanya kwa waliosamehewa kwa makosa ya Uhujimu uchumi... Inawezekana pesa zile zimekuwa za mtu binadsi sio mali ya umma. Kwenye mapato ya serikali hazipo
  18. Mongoiwe

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HakiElimu: Uzinduzi wa ripoti za makuzi, ulinzi na elimu bora ya awali inayowaandaa vyema watoto kujiunga na elimu ya msingi

    Ripoti hizo mbili zinazozinduliwa ni: Intergration of Child Protection into Early Childhood Development (Namna Bora ya Kujumuisha Dhana ya Ulinzi wa Mtoto Katika Elimu ya Awali) Assessment of Learning and Teaching Environment for Pre-primary Education in Tanzania, 2019 (Mazingira ya Kujifunza...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Mwanza ichunguzwe kwa kushindwa kutoa ulinzi na kwa kumsusa ndugu Waitara, Naibu Waziri

    Habari kubwa mitandaoni ni Naibu Waziri ndugu Waitara kukoswakoswa na kipondo cha haja kutoka kwa wananchi. Naibu Waziri alionekana akizongwazongwa na akiwa na hofu kubwa, hakuwa na ulinzi wa mgambo wala Polisi wakati akisakamwa na wananchi hao Hakuwepo Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa WIlaya, RPC wala...
Back
Top Bottom