ulinzi

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: Jinsi watu wanavyoporwa mali zao baada ya mechi kumalizika Uwanja wa Taifa, huku Vyombo vya Ulinzi na Usalama vikitumbua macho

    " Nitasema Kweli daima fitna kwangu mwiko " Zikiwa zimesalia dk 30 mpira kumalizika vijana wezi , vibaka na majambazi kutoka Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko torori , keko machungwa na baadhi kutoka Chang'ombe husogea karibu na uwanja wa Taifa , wengi hujikusanya kwenye njia panda ya...
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba

    Marekani imemuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Cuba, ikimtuhumu kwa ukiukaji wa haki za binaadamu na kumuunga mkono Rais wa msoshalisti nchini Venezuela Nicolas Maduro. Marekani imemuweka kwenye orodha ya vikwazo Leopoldo Cintra Frias, Waziri wa Majeshi ya Mapinduzi ya Cuba, na watoto wake...
  3. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamuziki huyu wa Kenya anataka ulinzi?

    Msanii wa Kenya King Kaka anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa. King Kaka amabye jina lake halisi ni Kennedy Ombina, mwishoni mwa juma alitoa video ya wimbo aliouta 'Wajinga Nyinyi', akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya...
  4. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili mjini Kahama

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Novemba 26, 2019 anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi ya siku mbili katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga. Akizungumzia ujio wa Rais Magufuli mkuu wa wilaya ya Kahama Anamringi Macha amesema Rais...
  5. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kila siku Wahamiaji haramu, Mh. Waziri husika tunahitaji ulinzi mkali wa hii mipaka ya nchi yetu na watu wabadilishwe mara kwa mara

    Tumechoka, ifike wakati tuseme imetosha. Tulishasahau lakini naona haka. Kamchezo kamerudi tena. Ni suala la kujiuliza. Waethiopia mnakamata Morogoro wamepitia boda gani Morogoro? Mnakamata lori zima Singida wamepitia boda gani Singida? Ifike sasa wahusika wafanye maamuzi magumu, kama...
  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Msumbiji ipewe masaa 72 kuwacheua magaidi walioua Watanzania 6 Mto Ruvuma, la sivyo iwekwe chini ya ulinzi

    Kama wameshindwa kuweka watu wao under control basi napendekeza tuwasaidie kufanya hivyo. Wapewe masaa 72 tu, wafanye wafanyavyo, wakamuane waminyane, watajua wenyewe, tunataka wawacheue hao magaidi na wawasalimishe kwetu, ndani ya hayo masaa 72. Kinyume cha hapo, Jeywee wawafuate na kuwasaka...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Car Tracking services

    Sumtech Company Limited Tuna bidhaa zenye uwezo wa kulinda,kutoa taarifa kuhusu gari lako,kwa kupitia simu yako mteja anaweza kuona, -Speed -Sehemu ya gari yako ilipo -kuzima au kuwasha gari -Routes za gari -Gari lilipo -Mwendo wa mafuta,kujua mafuta yaliyowekwa au kiasi gani cha mafuta...
  8. cheusimangala_

    JamiiForums Tanzania Ulinzi na usalama ni wajibu wa kila mwananchi

    Usalama ndio msingi mkubwa wa maendeleo ya jamii katika ngazi zote, na kwa hakika hakuna jamii ambayo itajivuna kupata mwelekeo wa maendeleo kama kwao usalama haupo. Ndio maana sasa wananchi wengi wanafahamu kuwa ili uzalishaji ufanyike kwa matumaini ya kuwa na maendeleo, lazima ulinzi wa...
  9. Ack

    JamiiForums Tanzania Huu ndo ulinzi wa Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan

    Raisi wa uturuki Recep Tayyip Erdogan Ni Moja ya maraisi 10 wenye ulinzi mkali Duniani
Back
Top Bottom