Naombeni wapewe ulinzi na sanamu wajengewe

JMipicha

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
705
1,070
Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote.

Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulinzi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi.

1. Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpaka uwape mwenyewe )

2. Wanawake wenye age ilioenda huwa wana gawa zawadi kwa kiwango cha SGR na sio wachoyo wala wasumbufu.

3. Wake za watu wanaotoa bususu bila hiyana na zawadi kama zote.

4. Mademu ambao wakija gheto huwa wanajua nini kimewaleta.

5. ENDELEA KWENYE COMMENT

UZI TAYARI

MITANO TENA....,
 
HAWA NI MASHUJAA SANA

7. Single mother. & Single father(wagane &wajane) ambao walifiwa na wanza woa wakasema hawataolea/wala kuoa wakapigana had wahakahakikisha watoto wao wanatimiza ndoto zao.

8. Wanawake walio/wanaojitoa kuhakikisha wanakuwa sehemu ya mchango wa mafanikio ya mme na familia yake kwa ujumla.

9. Wanandoa wote walioweza kuishi miaka kuanzia 20 kwenye ndoa zao bila kupeana likizo kisa ugomvi(kutofautiana)
 
Asubuhi tulivu nikiwasalimu nyote ...!

Ningependa kusema kuna watu wanastaili kabisa kupewa ulizi maana wanafanya mambo ya kupendeza sana au nasema uongo ndugu zangu .naanza kama hivi..

1.Wale mademu ambao wanakula na kupendeza kwa hela zao (Hawapigi vibomu vya kijinga mpka uwape mwenyew )

2.Wanawake wenye age ilioenda huwa wana gawa zawadi kwa kiwango cha SGR na sio wachoyo wala wasumbufu

3.Wake za watu wanaotoa bususu bila hiyana na zawadi kama zote

4.Mademu ambao wakija gheto huwa wanajua nini kimewaleta

5..........ENDELEA KWENYE COMMENT

UZI TAYARI ......

MITANO TENA....,
Wanaume wote ambao wanatimz majukumu yao kwenye familia kikamilifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom